Wanzibar tupunguze kulalamika juu ya utoaji wa maoni ya katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanzibar tupunguze kulalamika juu ya utoaji wa maoni ya katiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jamesbond007, Jul 6, 2012.

 1. jamesbond007

  jamesbond007 Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwakuwa ccm inawatumia wanavijiji kuwasilisha matakwa yao kwa kuwapa barua zenye kupendekeza serikali mbili wa muundo wa muungano, basi na sisi tusiotaka muungano au wanaotaka muungano wa mkataba basi na wao weaandae barua kwa mujibu wa maoni yao halafu waziwasilishe kwenye tume kama wanavyofanya ccm! kama wao wametuma 100 cc tutume zaidi ya 1000 kila kikao, sasa tuone nani makali na sio kulalamika, hakuna ataewasikiliza wakati huu
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Kuwaambia wasilalamike ni sawa na kuwaambia wasitoe maoni...
   
 3. m

  mkataba Senior Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya maoni kiini macho tuuu!!!
   
 4. B

  Bob G JF Bronze Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Muhimu nikuchukua hatua na si kulalamika 2
   
 5. jamesbond007

  jamesbond007 Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Mr. Mkataba, utoaji wa maoni ni kiini macho, watu tayari weshaamuwa nini cha kufanya cc tunazugwa tu na dunia inapigwa changa la macho, cc tunalikuwa hilo ila tunakwenda tu ili kutowapa nafasi ya kujilabu sana juu ya muundo ya unafiki wao wanautaka! cc wanzibar message yetu ni rahisi na fupi sana kuwa "Tuachiwe Tupumuwe"!
   
Loading...