Utitiri wa vyama vya siasa nchini una ufanisi/tija gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utitiri wa vyama vya siasa nchini una ufanisi/tija gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Elai, Feb 28, 2012.

 1. E

  Elai Senior Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau,

  Kuwa na vyama vingi vya siasa vingine hata havisikiki hadi wakati wa uchaguzi ni demokrasia hii? Inamsaidia nani?
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Unasaidia wananchi kuchagua wanakuwa na choice nyingi
   
 3. l

  lcs New Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nalileta kwenu kama changamoto ya mawazo
  Kwani nionavyo mimi ingawa siyo mwanasiasa mfumo unaofutwa na nchi za magharibi kwa kuwepo na vyama viwili vya siasa na kuruhusu mgombea binafsi /independent kunaleta uwajibikaji mkubwa katika serikali.

  Watanzania wenzangu tumeona kesi zinafunguliwa mahakamani na Mheshimiwa Mtikila ili kuwepo na mgombea binafsi ikiwa kwake ni pamoja na Uzawa sijui Jamii forum tunasemaje
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Wanabodi.

  Kwenye kipindi cha Kipima Joto ITV mada ni uwepo wa utiriri wa vyama vya visivyowajibika je vifutwe.

  Wageni ni John Twenda msajiri wa vyama vya siasa, Peter Mziray wa TPP Maendeleo, Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi Samwel Ruhuza, Mwenyekiti wa UPDP Fahamu Dovutwa, Mwenyekiti wa CCK Costantine Akitanda.

  JF Daima
   
 5. WISTON MWINUKA

  WISTON MWINUKA Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Viongozi kadhaa wa vyama vya siasa wapo studio wakijadili mada hii!
   
 6. B

  Bob G JF Bronze Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mi naamini hata viwepo vyama milioni 20 kama vitakuwa na wanachama, na Vitajifia vyenyewe kwa kukosa wanachama
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hii mada ilishajadiliwa mara nyingi sana hapo itv, usahaulifu?!
   
 8. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kuwa na akili gamba wewe huyo John Tendwa yupo wapi?.
   
 9. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa nao ni makamanda? Naona wawili wamevaa kama mgambo! Peter mzirai kavaa kama askari wa kikoloni, Fahm dovutwa nae kavaa kama mbowe!
   
 10. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hawa makamanda nao! Eti wamevaa kijeshi!
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  CCK wanataka ruzuku kwa vyama vya siasa ifutwe aina maana ni kutafuna koda za Watanzania, kuna Watanzania wengine hawana vyama.
   
 12. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Huyo mwenye kakofia kekundu ka mgambo 2010 alipga kampeni akafika pahala alisema kura zake tumpe kikwete,si mnakumbuka wakuu ?cdm ndio mpango mzima hao njaa tu
   
 13. a

  andrews JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ccm ifutwe sababu haina wanchama hai na viongozi wao ni majizi ya kutupwa yakiongozwa na kikweteQUOTE=Ritz;4191737]CCK wanataka ruzuku kwa vyama vya siasa ifutwe aina maana ni kutafuna koda za Watanzania, kuna Watanzania wengine hawana vyama.[/QUOTE]
   
 14. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  muhimu kama uwepo wa utitiri wa vyama hawatumii kodi zetu sina tatizo"
   
Loading...