CCM wapigana vibaya Kawe na mkutano kuvunjika

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mkutano wa uchaguzi wa vijana CCM kata ya Kawe umevunjika baada ya vijana kupigana vibaya na kurushiana viti huku wakilaani uongozi wa juu kwa kutaka kuua chama.

Ilikuwa ni aibu kuu kwa chama tawala ambapo vijana hao wametabiri chama chao kitazikwa muda si mrefu.

Sababu kubwa ya kupigana ni uongozi wa juu wa CCM kukata majina ya walioomba nafasi ya Mwenyekiti na kuleta jina la mtu ambaye hakuomba.

Inadaiwa hiyo yote ni kutokana na makundi yanayotafuna chama hicho pamoja na Rushwa ya ngono iliyokithiri ndani ya chama hicho wilaya ya Kinondoni.


Source: Habari ITV
 
katika kile kinachooneka watu kuchoshwa na tabia ya kubebwa kwa baadhi ya wanachama leo katika uchaguzi wa Uvccm kawe uchaguzi umevunjika kutokana nakile kinachooneka kupandikizwa kwa viongozi ambao hawakubaliki.
Huyu pepo atawatafuna mpaka kieleweke.
Source.ITV Matukio jiji letu
 
Hivi kawe ni wilaya? Watakuwa walikasilishwa na hotuba ya jk
 
Oooohh kwahio kama rushwa isingekithiri ingekubalika tu? mmh
 
Sala zetu Mungu anaziongoza hata wao kwa wao wameanza kuvulugana ......................
Nawashangaa watanzania wanao endelea kukumbatia hichi chama cha majambazi
 
kwani kwenye huu uchaguzi kulikuwa na uwakilishi wa kundi gani kwa maana 2015 sio mbali.
 
Rushwa ndio baba na mama wa chama cha magamba; mkweree alipata Urais kwa mtindo huo huo, itakuwa hawa vikaragosi!!
 
Mbona habari yenyewe imeishia mwenge?mtoa mada aliishiwa nauli?Tupe habari kamili mzee,tuje tuongeze nguvu.
 
better is not enough,best is yet to come

na bado mtaona mengi ya ccm,stay tuned
 
Mbona habari yenyewe imeishia mwenge?mtoa mada aliishiwa nauli?Tupe habari kamili mzee,tuje tuongeze nguvu.

NA NINGESHANGAA KAMA UNGESEMA HABARI IMEKAMILIKA,endeleeni na mipango yenu ya kuuwa viongozi wa madaktari,siasa iliwashinda alivyoondoka mwalimu
 
better is not enough,best is yet to come

na bado mtaona mengi ya ccm,stay tuned

kila kukicha kinazuka kituko kipya CCM.
Wa wapi wazee wenye busara akina Salim A Salim,Warioba,Cleopa Msuya na wengineo kuokoa jahazi?
Maana hata pale chadema itakapo chukua dola,tutahitaji upinzani makini na imara!
 
Back
Top Bottom