Mgomo wa madaktari unasonga walimu walikwishaufanya huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari unasonga walimu walikwishaufanya huu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mansakankanmusa, Jul 6, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  SOURSE: itv

  hivi? mnajua madaktari wakiwa wamerejea bado matatizo yatakuwa mabaya zaidi,

  tukio hili lilishafanywa na walimu walivyotangazza mgomo, na kusalititiwa na baadae tukashuhudia wanafunzi wakimaliza hawajui kusoma na kwenye mitihani yao wakiandika mistari ya bongo flava, huku wengine wakichora picha.


  chukua hatua
   
 2. THE GREAT CAMP

  THE GREAT CAMP JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 767
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi nimepita hospitali za mikoa kama nne hivi.Wa TZ tusijindanganye madaktari hawafanyi kazi japo utawaona wapo maeneo ya kazi na wanaingia chumba hiki wanatoka chumba kingine. Ukiuliza utaambiwa kuna kikao cha utendaji. Na hata ukikuta daktari amekubali kukusikiliza atakupanngia tarehe ya operation mwezi wa 10/2012.Ukiuliza doctor mbona umenipangia mbali sana. JIbu utaambiwa tuna subiri mashine kutoka wizarani. Jamani mgomo huu ni mbaya sana, bora hata wale madaktari ambao hawafanyi kazi kabisa. SULUHU ya tatizo hili Kila mkoa wananchi tuingie barabari kuandamana kuishinikiza serikali isiypo sikia kumaliza tatizo hili. So sad.
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Unataka kupima ama kutibu kansa unaambiwa njoo mwakani mwezi wa tano tunangoja either foleni Ocean Road ipunguwe ama Wizara ituletee machine.

  Kihivi lazima tufariki wengi kinoma.

  I say uza mashangingi yote au tuandamane.
  Nipe Matibabu or Death
   
 4. mwenyenchi

  mwenyenchi JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tuingie barabarani wananchi maana naona serekali inataka kututoa kafara
   
 5. H

  Hute JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,921
  Trophy Points: 280
  hapo umesema kweli, waalimu wanaopata mshahara robo wa ule wa daktari, polisi na wengine wanaopata mshahara chini ya laki tano waandamane ili madaktari waongeweze mishahara wapate mamilioni lakini wao wabakie tu na chini ya laki tano..usifikiri kila mtu hapa tz ana akili fyatu kama wewe. madoctor wenyewe walevi tu na waiba madawa yetu kupeleka kwenye maduka yao....hawana akili....kwa doctor mwenye akili, asingegoma kabisa, ila angefanya kazi zake kama kawaida na angetumia profession yake kupata pesa nyingi sana hapa tz...kama wameshindwa kazi waachie tu, tutaajiri wengine.....kwanza mkiwaongeza mishahara ndo hata kazini hawata kuja watashinda bar, wanaongoza kwa ulevi hawa ujue.
   
 6. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Tumechukuliwa MSUKULE na serikali ya CCM, wachache kati yetu wameanza pata fahamu.
  tatizo tulilo nalo wananchi wa Tanzania ni kukaa na kusubiri shujaa aje kutukomboa.

  Tutasubiri mpaka tuoze,huyo shujaa tunaye msubiri aje atukomboe si mwingine ni mimi na wewe.
   
Loading...