VOA: Mgomo bado upo, wagonjwa wamekiri hakuna aliyetibiwa leo 06/07/2012, vifo vyaongezeka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VOA: Mgomo bado upo, wagonjwa wamekiri hakuna aliyetibiwa leo 06/07/2012, vifo vyaongezeka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 6, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 1,569
  Likes Received: 3,067
  Trophy Points: 280
  Hii ni Idhaa ya kiswahili ya Sauti ya America (VOA) imetanabaisha kuwa mgomo upo na vyumba karibia vyite vya kutolea huduma vilikuwa vimefungwa na wagonjwa wamekiri kuwa wale wa operarion na huduma nyingine hakuna aliyepata huduma na madaktari wapo ila wanadai wako busy na wengine wanadai wanafanya mitihani.

  Wakati huo huo wagonjwa waliokwenda Muhimbili wamezidi kuongeza vifo vya wagonjwa waliopo na wanaofika Muhimbili kupata huduma
   
 2. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,710
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Hakuna hoja ya kujadili hapa.

  Mgomo umeisha tujenge taifa, pia tutenganishe siasa na taaluma.
   
 3. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,884
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Ujumbe huu wapelekee na TBC maana ndo wanatumwa kama polisi kusema mgomo umeisha
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,410
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  mgomo hauwezi kwisha kienyeji mpaka madaktari watangaze wenyewe
   
 5. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 1,569
  Likes Received: 3,067
  Trophy Points: 280
  Acheni siasa na maisha ya watu, hii dhambi itawatafuna
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,017
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  sijui una maslahi gani....
  Kwa nini kudanganya wagonjwa wafike na wasikute huduma.
  Washauri waende dispensary ya rufaa Lugalo
   
 7. mgashi

  mgashi JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 298
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ila kazi unayo kila ukiona wameanzisha mada ya mgomo fasta ushakimbilia kukanusha huna kazi nyingine? Ona aibu hata kama unalipwa kuwa japo mzalendo wahulumie ndugu zako hata kama wewe unatibiwa india unasikitisha sana.
   
 8. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,487
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Asante kwa hekima yako.
   
 9. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wale wairan wako wapi?
   
 10. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 2,902
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Kwa nini uzuie watu kujadili, kuna nini unataka kuficha hapa?
  Kama unaamini mgomo umeisha una wasiwasi gani watu kujadili
  au kutabadilisha nini?...
   
 11. I

  IDIOS Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hakika tusubiri tuone mwisho wake ni nini. Mana leo rais wetu alikuwa ameenda kwenye maonesho ya sabasaba kama vile hakuna tatizo lolote lililopo katika himaya yake.

  Inasikitisha sana kwa jinsi jambo hili linavyochukuliwa na viongozi wetu, ni taabi kubwa kuamini hiki. Yani wameli- relax kweli kweli

  Tanzania hatuna serikali ila tunajiongoza wenyewe. Kama kweli inafikia hatua mgomo unafika wiki ya tatu lakini viongozi wetu wanazidi kula bata mtaani tu, hakikaka tumekwisha.
  Natabiri kuwa mwisho wa uongozi wa mh rais wetu Jakaya ndo huu hakila ataenda THE HEG FRANCE.

  Damu ya watanzania wanaokufa kila siku kwa kwa ajili ya mgomo huu bila kutatuliwa damu hiyo itawalilia.
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,153
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  Serikali dhaifu ya chama dhaifu inatumaliza watanzania kwa kuleta porojo kwenye mambo ya msingi.
   
 13. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,660
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Huyu mwendawazimu ni wa kuogopa kama virusi vya ukimwi!
   
 14. only83

  only83 JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,153
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  Nadhani ungepeleka huu ujinga huko huko CCM.
   
 15. only83

  only83 JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,153
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  Mimi sishangai JK kuendelea kukaa kimya wakati watanzania wanakufa. Nadhani tunahitaji kufanya maamuzi magumu kulikomboa hili Taifa. Raisi wetu anayeongoza indirectly Kamanda Dr Slaa aliwai sema wakati wa kampeni za uraisi mwaka 2010 kuwa kuichagua CCM ni kuchagua kifo. Nadhani watanzania tunavuna tulichopanda, tunapaswa kumshukuru MUNGU kwa kutulipa kulingana na matendo yetu.
   
 16. only83

  only83 JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,153
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180

  Yani nilidhani Tume ya Katiba ndio kichaa, kumbe wewe ndio mwendawazimu kabisa...Yani kufurahia post ya Tume ya Katiba ni sawa na kufurahia kifo.
   
 17. Electron

  Electron Member

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  umenunuliwa hadi akili mkuu yaani mwili na roho umemwuzia dhaifu! Pole sana! Madaktari wamekomaa mmenunua media za bongo na humu pia mnataka watu wasijadili?! Sasa ngoja media za nje na wananchi wawaumbue!
   
 18. W

  Welu JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 779
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wamegoma mara hawajagoma! Hivi hakuna mtu mmoja serikalini wa kutoa tamko ? Au kila mtu ni msemaji?
   
 19. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Meningitis, mzee wa Sewahaji! Endeleeni kugoma si tunajenga taifa!
   
 20. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 6,071
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mazingaombwe ya selikali mdebwedo, yaani jama yangu amevunjika taya ktk ajali ya mikumi tukampeleka lugalo, lualo wakampa rufaa ya mui2, hali tuliyokuta muhimbili ni aibu tupu, selikali laghai na vyombo vya habari vimetusaliti
   
Loading...