M4C leo Tabata Segerea

Naona mmeanza siasa za ubuyu za kufuata uwingi wa watu! Msisahau Kimboka by night, huwa kunajaa watu sana!
 
mmtaremwa anasema kuiunga ccm uwe muislam au mkristo ni motoni
 
kazi bado inaendelea pigeni kazi makamanda hata kama sisi tuko mbali mungu yuko pamoja nawe kwani tunaimani mlianza na Mungu na mtamaliza na Mungu
 
Huyu mama mbona anongea kama teja?. Alikuwa ameutwika kabla ya kupanda jukwaani. Halafgu eti ni waziri huyu jamani, ndiyo maana nchi haiendelei yaani AKILI NDOGO inatawala AKILI KUBWA.

Last edited by a moderator:
Haya ma network yao ovyo kabisa kesho tutaweka alichosema kamanda Lema hapa mshuhudie. Kweli lema ni kamanda
 
​mzigo wa jk huo nasikia anaucharanga sana madavidavi
Huyu mama mbona anongea kama teja?. Alikuwa ameutwika kabla ya kupanda jukwaani. Halafgu eti ni waziri huyu jamani, ndiyo maana nchi haiendelei yaani AKILI NDOGO inatawala AKILI KUBWA.

Last edited by a moderator:
Huyu mama mbona anongea kama teja?. Alikuwa ameutwika kabla ya kupanda jukwaani. Halafgu eti ni waziri huyu jamani, ndiyo maana nchi haiendelei yaani AKILI NDOGO inatawala AKILI KUBWA.

Nchi inaongozwa na watu wa aina hii utategemea nchi hiyo itakuwa ya aina gani; ati waziri anaongea kama KCC (an old terminology). Ninategemea katiba mypa iweke utaratibu wa kupata viongozi ambao utaondoa mianya inayosababisha tunapata uwozo wa aina hii kwenye serikali.
 
Back
Top Bottom