Wabunge wa CCM ni watoro wa vikao vya Bunge huko Dodoma

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,198
Wabunge wa CCM ni watoro wa vikao vya Bunge na Dr. Slaa anaelezea athari za utoro huo:



Video kwa hisani ya chadematv ya Youtube
 
Last edited by a moderator:
ni tabia ya kuzaliwa ,wengi wao ninaowajua hata shule ya msingi, sekondari na chuo walikuwa watoro sugu,,!, wanahitaji chanjo kaka:flypig:
 
Wameshabwabwaja kwamba wao wako upande wa Serikali kwa hiyo hawaoni umuhimu wa kuhudhuria vikao vya bunge ila hawakosi kutia saini zao katika kitabu cha mahudhurio kupokea mgao wao wa posho....ni bora liende tu madudu kibao yanapitishwa bungeni, Wabunge wa magamba wako mtaani wanajirusha kwa raha zao.
 
Na hata wakiwa ndani magamba kazi zao hizi:
(1)wanalala na chafua ardhi kwa udenda.
(2)wana gonga gonga meza na kuziharibu na mikelele utadhani watoto wa chekechea wameruhusiwa kurudi nyumbani.
(3)hujamba na kuchafua hali ya hewa kwa harufu za mavi hasa maji marefu na sokwe.
(4)uzomea uzomea tu,,,utadhani mazuzu.....
(5)kuunga mkono upumbavu wa dhaifu.
Mengine malizia naona hasira tu, zanipanda nisije kupigwa ban bure..............................................................!
 
Wabunge wa CCM ni watoro wa vikao vya Bunge na Dr. Slaa anaelezea athari za utoro huo:



Video kwa hisani ya chadematv ya Youtube


Dr Slaa angeanza na wabunge wa CDM ambao wote leo wanahudhuria mkutano ambao yeye ni mjumbe. Kwa nini wanakutana Dar wakati vikao vya bunge vinaendelea? Na wakati muhimu wa vikao vya kamati wao walikuwa busy na mikutano mikoani.
 
Last edited by a moderator:
Wabunge wa CCM ni watoro kwa sababu wengi wao fedha ndiyo zilizowapa ubunge.Hili ni fundisho kwa wananchi kuwa unapomchagua mbunge kwa kupokea vijisenti na vyakula haya ndiyo mavuno.
 
Back
Top Bottom