Chimbuko la uhuru wa tanganyika,hatuhitaji udini ktk kukumbuka waasisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chimbuko la uhuru wa tanganyika,hatuhitaji udini ktk kukumbuka waasisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dik, Jul 8, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana ndugu na wana jf wenzangu,ninasikitishwa sana na baadh ya vyombo vya habari,na baadh ya wanajf wanaorusha thread za kutetea ukabila,ukanda na udini humu jamvini.siamini kama haya ni ku2weka pamoja kama ndugu bali kutugombanisha kinyume na mapenzi ya mnyaazi mungu!ni kwa nini 2naelekea huku?mfano pamoja na nyingn nyingi kuna topic imerushwa humu na inachangiwa nasi juu ya chimbuko la uhuru wa tanganyika!
  1.hivi dhana yazo ni nini?
  2.watoto wetu watajifunza nini sasa kama kila siku ni ukabila,ukanda na udini?
  3.ni lini humu jamvini tutajadili ni fursa zipi tuwaandalie watoto wetu na vjana wetu kujikwamua na umaskini?
  4.ni lini tujadili kuhusu kuukwamua uchumi wetu unaoelekea kufa na kuzikomboa rasilimali zetu?CHANZO CHA MIJADALA HII NI UMASKINI TULIOUTENGENEZA WENYEWE KWA MASHAIRI YENYE VINA UKABILA,UKANDA NA UDINI
  ,..pamoja na mengi matatizo tuliyo nayo we should change to positive atitudes!
  ,..ukombozi ilikuwa ni lazima uje,haijalishi alieuleta ni mkristo au mwislamu na kwa njia gani.naamini wazee wetu waliungana pasipo kujali dini zao kupigania uhuru wetu.je hawa wazee we2 hawakuzijua dini.it doesnt mater who was in th war front.kama alikuw mwislam nyuma yake alikuwa mkristo na kinyume chake all wth th same goals
  ...2NAKUBALI KUPANDIKIZWA IDIOLOGY ZA UDINI,UKABILA NA UKANDA.KWA TOFAUTI ZETU HIZO TUTAFARAKANA NA WATAPATA NAFASI YA KUCHUKUA WANACHOTAKA .THEN WHAT WILL FOLLOW?
  ...jf ni nzuri sana kwa wanaojua kuitumia.naamini kila mwan jf ni mwelewa.2badilike na tuwe na positive thoughts ambazo zina mchango wa kujenga kwa wengne na kuibadili serikali ilyopo ili siku moja jf iandikwe ktk hstoria kwa mazuri itakayokuwa imefanya.sisi ni jaamii moja.2sikubali kugawanywa.ASANTENI.0716689250
   
 2. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Naona midundo ya disco leo asubuhi bado iko kwenye medula! Hivi ni wimbo gani vile ulikuvutia sana?
   
 3. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
 4. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Bora uweke wazi maaana naona watu wanaleta uislam huu ni uhuni maana kila mtu ana dini yake sasa akianza kuisifia mpaka kwenye mitandao ya kijamii tutafika kweli.
   
 5. D

  Dik JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  niambie nilichoandika ambacho kimekukera ni kipi.ni upi msimamo wako kuhusu udini
   
 6. Dijovisonjn

  Dijovisonjn JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu umenena vema tena sana ila tatzo ni kwamba wachache tumekuelewa na wengi hawajakuelewa!
  Ni jukumu leo wote kusimama kukemea na kuzpinga hizi propaganda za udini, ukabila na ukanda!
   
 7. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu nakuomba ufafanue zaidi, inaonekana kuna kitu kinakukela zaidi kutokana na "vices" ulizo taja hapo juu.
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mleta thread ana hoja, tatizo amekurupuka hakuiweka sawa. Mfano thread anayoisemea imefafanua kuwa jana kwenye mkutano wa waislamu hasa wa dhehebu la sunni, walilalamika kuwa wao ndio walioleta/sababisha uhuru wa Tanganyika, lakini wameachwa nyuma kielimu na wakristo. Sasa changamoto ni kwamba ilikuwaje wakabaki nyuma.
   
Loading...