Mkoa mzima wa Dar Es Salaam una Mbunge mmoja tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkoa mzima wa Dar Es Salaam una Mbunge mmoja tu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JACADUOGO2., Jul 8, 2012.

 1. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkoa mzima wa Dar Es Salaam una mbunge mmoja wa jimbo la Ubungo, Mh. John John Mnyika! Anayebisha amtaje mbunge mwingine kama yupo tofauti na Mnyika.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Umenena ukweli mkuu. Mnyika ndio jembe akifuatiwa na Mdee.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  mdee humjui??
   
 4. real thinker

  real thinker Senior Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  huo ni ukweli kaka ila umemsahau halima james mdee.
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Halima Mdee leo mmemkana habari njema.
   
 6. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 737
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Magamba ni wazushi tu.
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mnyika ni gifted na ana confidence ktk kile anachokiamini.
   
 8. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  watu wakishajua ku type kwenye computer na kutumia net matatizo sana. Mazoezi yao wanakuja kufanyia humu jf
   
 9. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ritz si umeshaambiwa akitoka mbunge wa taifa mnyika anafuatiwa na halima,,,kama ulimsikiliza vizuri yule waziri aliyefumaniwa singida alikuwa analalamika kwamba eti kila siku mtu mmoja kila mara anachangia eti watu wata choka
  jj kila kitu anachangia sio maji tu ya dar hata ukimtizama anachangia kwa data za serikali anazichambuwa

   
 10. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  makongoro mahanga
   
 11. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,337
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  haswaa... Akifuatiwa kwa karibi sana na Abas Mtemvu wa Temeke
   
 12. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mnyika oyee!!
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndo umemaanisha nini?
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Haaa! kuna wabunge wenye majina kama haya hapa dar?
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Haaa! kuna wabunge wenye majina kama haya hapa dar? Maana wengine ndo nawasikia leo, huwa wanalala bungeni?
   
 16. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Wapi mbatia
   
 17. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2012
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni vigezo gani ulivyotumia kusema hivyo? Ni kuchangia Bungeni? Kuandikwa kwenye vyombo vya habari? Utekelezaji wa ahadi za uchaguzi? Ni vyema tukawapima kwa mizania sawa pasipo kuweka ushabiki.
   
 18. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  kama kwa kuomba miongozo n kupptezA muda nisawa kuwa mnyika anaongoza
   
 19. S

  Serayamajimbo Senior Member

  #19
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 20. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,084
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  ningekuwa mshauri wa mnyika, ningemwambia asigombee tena ubungo, wala ubunge..anasense of humour, tatizo haji kuchukua maoni, ofisi yake hasemi ilipo
   
Loading...