Soma siafu wanao mlinda malkia tasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soma siafu wanao mlinda malkia tasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chach bons, Jul 9, 2012.

 1. c

  chach bons New Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana jamiiforum, ni matumaini yangu kuwa nyote mu wazima wa afya, kilammoja anaendelea na shughuli za kutimiza malengo yake ila kama pia si mzima basi ni vema kumshukuru mungu pia kwa sababu uiimeweza kuiona siku hii ya leo ambayo wengi wameikosa ila.
  Basi ndugu zangu wanajamii naomba nipate kuyanena yale tendwayo na siafu wa nchi hii,
  ni hakika kwamba kila aliye amka na kujikuta mzima humshuru mungu kwa hali hiyo bali pia kila mwenye upendo hufurahi kumwona jirani yake akiwa mzima. ila hii ni tofauti katika nchi ya TANZANIA ambapo kiongozi huchafua mazingira kwa kujitawaza na huitaji kusafishwa na siafu, nao siafu hawa bila kujua kuwa wameapa kwa imani za dini yao kuitetea na kuilinda katiba ya Jamhuri ya muungano wa TANZANIA wanajisahau punde tu wamwagikiwapo na mafuta ya malkia
  Hali hii inayochukiwa na wengi walio maskini, na kuamua kutumia hata nguvu zao na akili zao binafsi katika kujitafutia kile cha halali ili kuyasogesza maisha yao, hujikuta mwishoni huambulia kujutia uamuzi wao wa kujitole kwa moyo wao wote katika kufanya kazi, mimi binafsi naamini kuwa Baba mpumbavu siyo kwamba familia yake nayo ni ya kipumbavu bali baba mpumbavu hukataa ushauri mzuri aupatao kwa ndugu, jamaa au marafiki wa karibu,
  Simba ndiye mzee wa pori ndiyo, lakini sidhahi kama ni busara kwa simba kutumia madaraka yake vibaya kunyanyasa wengine, endapo wanyama wingine huitaji sheria iwezayo kumzuia simba huyu asiwale wengine badala yake atafute mlo mbadala, hakuna mtu yeyote aliye na haki ya kua au kunyanyasa mwingine, binadamu wote ni sawa chini ya sheria, sasa hi mambo ya wengine kuonewa inatoka wapi mfano kupigwa na kunyanyaswa kwa DK ULIMBOKA , kutishiwa vifo viongozi wa CHADEMA, ingawa kazi yake mola haina makosa ila hii si yake, hii ni ya Siafu wasio jua wajibu wao na badala yake kufanya mambo yasio wahusu.
  chac_bons@hotmail.com wasiliana nami
   
Loading...