Matangazo ya kupinga unywaji pombe na uvutaji sigara yapigwe marufuku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matangazo ya kupinga unywaji pombe na uvutaji sigara yapigwe marufuku

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KALYOVATIPI, Jul 11, 2012.

 1. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa serikali yetu kwa asilimia kubwa inategemea sigara na pombe kwenye bajeti ya kuendeshea nchi na bado kuna matangazo wanayotokea kila siku kwenye vyombo vya habari kuwa matumizi ya hvyo vitegemezi vyetu vya bajeti mara ni noma mara ni hatari kwa afya. :my take. kama serikali itaendelea kuacha vyombo vya habari viendelee na matangazo haya kuna hatari baada ya wananch kuelewa nini kinatangazwa serikali itakosa vyanzo vya pesa ya bajeti hvyo basi serikali kupitia wizara ya habari vipige marufuk matangazo yote yanayohatarisha unywaji pombe na uvutaji sigara. :sent from my samsung galaxy s || using jamii forums
   
 2. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Wadau naomba michango yenu
   
 3. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Hata wale wanao endesha kampeni ya kuzuia matumizi ya tumbaku, wazuiwe, Serikali ianzishe wakala wa kuwashawishi wananchi kunywa pombe na kuvuta sigara, muda wa kufungua baa uwe kuanzia saa tano ASUBUHI mpaka usiku saa kumi (alfajiri). Sheria ya kuzuia uvutaji wa sigara maeneo ya wazi na kwenye vyombo vya usafiri ifutwe.

  Umri wa watoto kunywa pombo na kuvuta sigara uwe kuanzia miaka 13 badala ya 18. tuweke kodi kwenye bangi kwa kuwa bei yake ni ya juu kuliko sigara.

  Wachungaji na mashehe wanao pinga sigara na pombe washitakiwa wanataka kuhujumu uchumi wa nchi.
  Iruhusiwe DRINK AND DRIVE.

  Kwenye ofisi muda wa chai pawepo pia na chupa kadhaa za pombe,

  Tukifanya haya uchumi wa nchi utapanda mara dufu na tutaacha kuwa tegemezi katika uchumi.


  DRINK BEER SAVE WATER.
   
 4. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Kipigwe MARUFUKU CHAMA CHA MAPINDUZI kwani wameshidwa kubuni njia za kupata kodi na kutegemea pombe na sigara.
   
 5. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uliyoyasema naamini yanatoka moyoni mwako,yasingekuwemo usingeyasema
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  pale wanaposema WaTanzania wanajivunia pombe ya kilimanjaro ,lile tangazo ni batili hii si nchi ya walevi.
   
Loading...