Mwenzetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenzetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAKA A TAIFA, Jul 11, 2012.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwa masikitiko makubwa naomba kuungana na madaktari waliofukuzwa kulaani baadhi ya viongozi wa serikali /serikali ambao/ambayo kwao migomo na utafutaji wa haki za msingi ni dhambi au kosa la jinai .ninachoweza kuwashauri madakitari wote ni kuungana kwa pamoja kudai haki zao na za watanzania wote, wanopenda mageuzi na haki.haya yanayojiri ni vitisho,mateso na ukiukwaji wa haki za demokrasia ya kweli.tukumbuke mabadiliko yote huanzia kwenye manyanyaso ya kunyimwa haki na demokrasia ya kujitetea kimaslahi na kimaendeleo.sasa madakitari msiwe wanafiki wa kuwaacha wenzenu wafe kwa kafara,muungane zaidi muwe kama nuclear particle.please doctors be more united than ever.yuo motto should read ''ever we shall die united''amen
   
 2. VAPS

  VAPS Senior Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  hakika!!
   
Loading...