COPY to be SERVED upon: JAMII FORUM...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ni muda muafaka sasa. Ni muda wa Wabunge wote wa CHADEMA na vyama vingine wanaoagizwa kupeleka ushahidi dhidi ya tuhuma mbalimbali wanazotoa Bungeni kutupa,kama JF,nakala ya ushahidi wao. Tumechoka kuona Spika akifichaficha kila siku kinachowasilishwa kwake. JF tupo wengi na wenye heshima zetu.Tuna kila haki ya kupata taarifa za uthibitisho au ukanusho wa Tuhuma za Wabunge na Viongozi wetu. Za Lema na Zitto zimetupita. Isiwe hivyo kwa Mnyika. Utaratibu huu na uanze kuondoa makandokando ya Spika na Chama chake cha Mapindisha...
 
Si ungeenda ofisi ya CDM ukaomba huo ushahidi? Kulikuwa kuna sababu gani ya kuanzisha topic humu? Mnajaza server bila mpango.
 
Back
Top Bottom