Upendeleo wa Pinda Rukwa, Jenister Mhagama amtolea uvivu Lukuvi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upendeleo wa Pinda Rukwa, Jenister Mhagama amtolea uvivu Lukuvi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mjenda Chilo, Jul 10, 2012.

 1. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Hii ni nyuzi yangu ya pili kuhusu hili. Nakubaliana kuwa Rukwa imekuwa nyuma lkn kuisogeza sio kwa speed hii Mh. Pinda.

  Leo kwenye kupitisha bajeti ya maji kama mtakumbuka Mbunge wa Namanyere wkt akichangia aliahidi kuleta basi lenye wapiga kura wake wamama ambao hawajaoga bungeni kwa siku 3.

  Kwenye majumuisho waziri Maghembe akasema PM ameahidi kwenda huko na zaidi atatafuta hizo bil. 2 ili kutatua tatizo hilo. sasa mbunge akahoji why only Namanyere? na hizo pesa zitaidhinishwa na bunge gani coz hazipo sasa? Lukuvi akadakia na bla bla oh mara zitaletwa bungeni nk. ndipo m/kiti Jenister akasimama na kumwambia Lukuvi kila mbunge analia na maji kwa hiyo kama zikipatikana mgawanyo uwe kwa vipaumbele na si kwa wabunge eti walioongea kwa hisia kali.

  My take:
  Tuacheni siasa za upendeleo, ni aibu kwa jiji kuu la Dsm kila nyumba watu wamejaza madumu ya maji ndani halafu kumbe serikali overnight ina uwezo wa kupeleka maji wilaya kama ya Namanyere, sio dharau ila tuwe wakweli btn Dar eg Kimara na Namanyere kwa akili za
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hivi Musoma kuna shida ya maji?
   
 3. babykailama

  babykailama JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jenista Muhagama unaposema, " NADHANI WALIOUNGA MKONO HOJA (KUPITISHA BAJETI) WAMESHINDA", una maana gani?
  Kama unadhani je huna uhakika?
  Kama huna uhakika ni kanuni gani ya Bunge inakuruhusu upendeleo upande unaohisi umeshinda?

  Umeongoza vyema bunge leo lakini hitimisho la kudhania limetibua shughuli yote na hii iko kwenye record!


  N.B: kumradhi sana Mh.Mwenyekiti Bungeni leo 10/07/2012, Mh. J. Mhagama kwa kukosea kulitamka jina lako linavyopaswa!
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Umemsikia mtu yeyote wa Musoma akilalamika juu ya maji? Lakini, ndiyo, Musoma vijijini kuna shida ya maji.
  Unataka kutusaidia?
   
 5. a

  andrews JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni dhambi kubwa kuongea au kutoa tmako au neno kwa kukurupuka:A S-baby:bado una usingizi?
   
 6. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  aisee kumbe na wewe umeona ee!! mpaka nilicheka vituko hivi. unajua laichanganyikiwa pale sauti zilipokaribiana kuwa sawa. hivi huu ukumbi mpya wa bunge si tuliambiwa kuwa unateknojia mpya, sasa kwa nini wasitimie kupiga kura kwa kupres vitufe, hata dakika moja haiishi. ai teknolojia hii ni ya camera tu za kunasa wawangaji!? waaiii!!!
   
 7. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Refa akiwaambia mashabiki wa yanga nadhani simba wameshinda itakuwaje?
   
 8. H

  Hute JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,038
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  huwa naangalia bunge sana, lakini nikona sura ya yule mwanamke au ile ya ndugai, naangalia huku nikihisi kichefuchefu cha ajabu natamani hata kutoboa tv. unajua kumuweka mbumbumbu au mtu mwenye kisomo kidogo kuwa mwenyekiti au naibu spika au hata spika mwenyewe, ni kupoteza muda kabisa. miaka yote mitano aliyochaguliwa inapotea tu hivihivi yaani....sijui wabunge huwa wanamchaguaje mtu kama ajenista...INAKUWAJE MWANYEKITI ANAKUWA NA USHABIKI KWA CHAMA KIMOJA? mwenyekiti anakuwa biased waziwazi, kuna wakati unaweza kuona mpinzani ameongea kitu, yeye anamjibu si kwa neutral kama yeye mwenyekiti, bali anajibu kama yeye ni mbunge wa ccm, sasa sijui anafanya nini pale?mwili mkuuubwa, akili kidogo...ajabu sana aisee.
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Na hospitali jee?
   
 10. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Rubber stamping at its best!
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  WAJAPAN wa JICA waliwahi kulia mbele ya pinda,inakuaje maeneo yanayozunguka maziwa makuu hayana maji?
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huoni alama ya kuuliza? jibu swali wacha blaa bla.
   
 13. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nasikia siku hizi eti Dar watu wanajenga bila kuweka plan ya mabomba ya ndani, maana ina kuwa haina maana!
   
 14. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni dhahiri kwamba mfumo wa kupiga kura za kupitisha hoja mbalimbali bungeni una mapungufu makubwa. Na mara zote Spika/Mwenyekiti wamekariri sentensi hii...' Nadhani waliosema ndiyo wameshinda'.... hata kama hawakushinda. Kwa mfano leo wakati wa kupitisha hoja ya wizara ya maji, waliosema siyo walikuwa wengi zaidi ya wale wa ndiyo. Lakini maamuzi ya kiti kama kawaida ni ya 'kudhani'. Kwa mfumo huu, kuna uchakachuaji wa wazi bungeni. Hata hivyo, suala la kusikiliza vishindo vya sauti havina mantiki na ni unyanyasaji kwa wale wenye sauti isiyo na kishindo au sauti ya kwanza. Na je ikitokea tuna baadhi ya wabunge ni walemavu wa kuongea itakuwaje. Basi wangetumia hata staili ya kuchagua class monitor ya kunyosha vidole au kuandika vikaratasi. Harafu suala la kupiga kura kufanya maamuzi fulani ni siri.. Leo bunge letu linamuita mbunge mmoja mmoja aseme ndiyoo, au hapana, ni kichekesho. Nilidhani kwa kukua huku kwa technolojia wabunge wangewekewa vitufe vya ndiyo/hapana katika meza zao, na screen iwepo kuonyesha matokeo(counts). Kwa staili hii, bunge letu halipo huru kuisimamia serikali...
   
 15. M

  Mtokambali Senior Member

  #15
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mimi imenishangaza sana. mpaka waziri mhusika akakenua meno maana hakuamini kilichotokea! huu ni uburuzaji wa demokrasia kwa kweli
   
 16. M

  Mabala The Farmer Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuanzia spika mpaka mwenyekiti wote ni Advance Diploma, who can control Graduate like Mnyika. Mfano mwangalieni Joanista anapoongoza bunge huwa anachachawa utadhani ana ugeni wa wakwe waliokuja nyumbani kwa wazazi wake kumchumbia.mikono haishi kutetemeka. Jamani napita nakwenda zangu kuangalia mazao.
   
 17. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  mi mmoja wao mkuu, kwanini udhoofishe ukuta kwa maji usiyoyategemea kutoka? Unajenga stoo kubwa ya kuhifadhia madumu ya maji.
   
 18. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #18
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kweli hatamimi nilikuwa mfuatiliaji wa bunge leo jinsi bajeti ya wizara ya maji ilivyokuwa inapitishwa ,kusema ukweli kwa masikio yangu nilivyosikia waliosema sio walikuwa wengi kuliko waliounga mkona hoja.
   
 19. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mazee, kama unataka kutujengea hospitali karibu sana. Marehemu Joseph Nyerere alikuwa na mpango wa kujenga modern hospital lakini alipofariki mipango yote ikaparaganyika. Hata uwanja wa ndege ni wa 1952.
   
 20. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Hizo ni sarakasi za wana magamba. Bajeti ya Wizara ya Fedha ilisomwa,na hao wabunge wenu wengine wakasema wanaunga mkono asilimia 500,sasa leo wanalia hawajatengewa sijui pesa za maji,ooh hatuna barabara,ooh umeme!! Achana na matahira hayo...
   
Loading...