Asilimia 90 ya wakazi wa dar es salaam ni wafugaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asilimia 90 ya wakazi wa dar es salaam ni wafugaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaNanii, Jul 19, 2012.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  MOja kati ya sifa kuu ya wafugaji ni kuhama hama

  Wakazi wa dar nao wanahama hama kutoka na matatizo ya kukaa kwenye nyumba za kupanga !

  Upo hapo ?
   
 2. K

  Kiweriweri Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Yote maisha .. na hii ni kawaida ya miji yote mikubwa dunuani/wanahamahama na wanafuga mbwa, paka, ndege, nyoka, na pets wengine
   
 3. m

  mwitu JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 857
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  acha uwongo wanafugia wapi wkt watu wenyewe wamepanga chumba kimoja
   
Loading...