Learned brothers comeon!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Learned brothers comeon!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibrahim kisili, Jul 19, 2012.

 1. i

  ibrahim kisili Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani tujitokeze na tutoe ufafanuzi juu y dhana nzima ya kutojadili swala lililoko mahakamani...ongezeko la kuitumia mahakama kama kivuli inanitia kinyaa na niaibu kwa wanasheria nchini. Kwa nini katika maswala mazito mara moja tunakimbilia mahakamani na kudai tunaheshimu sana mhimili huo kwa kutozungumzia swala lililoko mahakamani? wimbi hili la kukimbilia mahakamani limeongezeka sana kipindi hiki hadi kufungua mashauri ambayo sio ya msingi kama hili la mwendawazimu halafu tunakatazwa kujadili kwa kina swala zima. Ila what i believe siku moja mahakama zetu tukufu pamoja na wanasheria weledi watatoa ufafanuzi kwa jamii ni kipindi gani na swala gani lililoko mahakamani halijadiliki? Ni hayo tu.
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Mahakama ndiyo siraha ya mwisho kwa CCM baada ya hapo watakuwa hawana, huu ni upepo utapita tu na mahakama itarudi ktk mstari, ma-RC, MDC na baadae polisi, baadaye TISS na JWTZ, magereza, wote hawa wamechemsha na sasa wanamalizia na bunge kwa bi makinda na mahakama.Baada ya hapo tutawakamata kama kuku kwa kutumia nguvu ya umma.Wammulize ALSAAD ametumia hadi silaha za sumu lakini kilichompata jana BBC News - Syria: Hunting for President Assad's assets
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
 4. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tanganyika Law Society mpo?
   
 5. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ok. Kwa mujibu wa katiba yetu, mahakama inapaswa kuwa huru. Iweze kutoa haki bila woga wala upendeleo (without fear or favour). Hivyo dhana ya kutojadili mambo yaliyoko mahakamani ina lenga kutokuathiri mwenendo wa kesi. Hata hivyo linalozuiwa ni kujadili (kujenga hoja juu ya mwenendo wa kesi/kujadili jinsi kesi inavyoendeshwa) na siyo kuzuia mtu kutaja matukio yaliyowahi kutokea ambayo yameripotiwa mahakamani. Mfano, huwezi kumzuia mke wa msigwa asiseme mumewe amewahi pigwa. Hivyo upinzani kulaani matukio yaliyofikishwa mahakamani, mf utesaji wa ulimboka, hakuingilii uhuru wa mahakama. Tatizo ni uchama, ambapo hata AG amesahau kuwa amewahi kuwa jaji badala yake anaact kama katibu mwenezi wa shina flani la ccm!
   
Loading...