Kada wa CCM Aliyepigwa chini na CHADEMA Karatu JK amfuta mchozi Ikulu

kanga

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,025
494
Dr.Willy Lori ,kada wa CCM aliyepelekwa kugombea ubunge 2010 katika jimbo la Karatu na kusambaratishwa vibaya baada ya DR.W.Slaa kuamua kugombea Uraisi amepewa ajira ya huruma na Mwenyekiti wa ccm JK katika masuala ya lishe.

Dr. Lori ambaye ni mzoefu wa masuala ya lishe pengine atamsaidia kiongozi wa nchi katika kutambua na kusimamia lishe yake ikizingatiwa kuwa wakati wa kampeni zake alikuwa akianguka hadharani moja ya sababu inayotolewa na wataalamu ni lishe duni anayopata.

Dr Willy Lori alipendekezwa na CCMabwepande wakijidanya na majina yake kushabiana kwa karibu na ya DR wa Ukweli Wilbroad Peter Slaa kuwa wanakaratu wengi watampigia gamba la CCM lakini waliona manyoya wakati kuku keshaliwa na CHADEMA.

KATIKA mazingira ya namna hii ya kuteua wasaidizi kwenye nafsi nyeti kwa huruma na kujuana nchi hii itategemea miujiza ya akina Musa na Joshua katika kutatua matatizo na changmoto lukuki.

Hongera DR. Lori kwa kufutwa machozi Ikulu.
Source.

Nipashe 19/07/2010
 
Mbona siku nyingi alikuwa anafanya kazi hukohuko!!, kwenye hilo uzoefu anao.
 
Dr.Willy Lori ,kada wa CCM aliyepelekwa kugombea ubunge 2010 katika jimbo la Karatu na kusambaratishwa vibaya baada ya DR.W.Slaa kuamua kugombea Uraisi amepewa ajira ya huruma na Mwenyekiti wa ccm JK katika masuala ya lishe....

Ujumbe umefika, kafanye kazi sasa , saa saba hii.
 
Safu ya viongozi serikalini imejaa 'rejects'. Mtu anakataliwa na wananchi, serikali bado inalazimisha kwa kumteua!
 
yaani tukipata waandishi wengine watano wanaojua mipasho kama wewe haina haja ya kusikiliza taarabu na muziki wa mwambao tena.
 
Ngoja akampikie JKilaza kachumbari ili awe anaj.am.ba vizuri!

mods,kwanini mnamuacha huyu bila ban????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????

angekuwa slaa au mbowe ametukanwa hivi mngekaa kimya??

mpigeni ban huyu jamaa ndio tutajua hili jukwaa ni la wote
 
lori.jpg

ARUSHA

WILAYA YA KARATU
KARATU
Candidate

Political Party

Number of Votes

Percentage Votes
NATSE ISRAEL YOHANA

CHADEMA
41,109
59.18
LORRI WILBALD SLAA

CCM
26,211
37.73
APPOLLINARY DEO MWIGITWA

CUF
244
0.35
SPOILT VOTES
1,898
2.73
TOTALS
69,462
100

Dr.Willy Lori ,kada wa CCM aliyepelekwa kugombea ubunge 2010 katika jimbo la Karatu na kusambaratishwa vibaya baada ya DR.W.Slaa kuamua kugombea Uraisi amepewa ajira ya huruma na Mwenyekiti wa ccm JK katika masuala ya lishe.

Dr. Lori ambaye ni mzoefu wa masuala ya lishe pengine atamsaidia kiongozi wa nchi katika kutambua na kusimamia lishe yake ikizingatiwa kuwa wakati wa kampeni zake alikuwa akianguka hadharani moja ya sababu inayotolewa na wataalamu ni lishe duni anayopata....

Nawashangaa sana CDM pro, pale mnaposema Dr sijui wa ukweli, Slaa ni dokta wa dini (imani) na si wa masuala ya kisiasa na uchumi, kwenye nyanja hizo ni mchovu wa kufa mtu.

Na dokta wa dini hana lolote. Katika thread yako, umeomyesha wivu wa wazi wa kike, kwa kuona mwenzio amepata basi na ww unataka, acha kuwa na roho ya hiana.

Fanya kazi kwa kibidii na ww utapata, na ndivyo mlivyo cdm pro wengi , mna roho za kwa nini, na watu wa aina hii katu hawawezi endelea.

Dr. Lori ambaye ni mzoefu wa masuala ya lishe pengine atamsaidia kiongozi wa nchi katika kutambua na kusimamia lishe yake ikizingatiwa kuwa wakati wa kampeni zake alikuwa akianguka hadharani moja ya sababu inayotolewa na wataalamu ni lishe duni anayopata.

Dr Willy Slaa hongera...ingia ofisi yako mpya ukijua kuwa zaidi ya theluthi ya watoto wa kitanzania chini ya miaka mi5 wamedumaa (kimwili na kiakili), na ni wajibu wako kutupunguzia hiyo idadi kabla ya 2015!
 
Mawazo ya cdm pro hayo , kweli nchi hii ina kazi kujikomboa km mawazo yenyewe ni haya

unamkumbuka bashe yule wa nzega si walisema sio mtz...wapo wengi wakuu wa wilaya na mikoa kwa ajili ya shukrani lakini sio uwezo walionao lisu aliwataja wote bungeni sik ya wizara ya sheria
 
Ni kawaida kama ni picha ndiyo inaendelea na staring ni Kamanda,Dr JK kama hutaki unaacha........ Kuna Baba mwenye nyumba si Baba mwenye gari.
 
Nawashangaa sana CDM pro, pale mnaposema Dr sijui wa ukweli, Slaa ni dokta wa dini (imani) na si wa masuala ya kisiasa na uchumi, kwenye nyanja hizo ni mchovu wa kufa mtu.

Na dokta wa dini hana lolote. Katika thread yako, umeomyesha wivu wa wazi wa kike, kwa kuona mwenzio amepata basi na ww unataka, acha kuwa na roho ya hiana.

Fanya kazi kwa kibidii na ww utapata, na ndivyo mlivyo cdm pro wengi , mna roho za kwa nini, na watu wa aina hii katu hawawezi endelea.

Docta anajulikana kwa kile udocta wake ulichozaa/unachozalisha na kile udocta wake unachofanya na sio kwa jina au fani. Deliverables brother,deliverables!
 
Back
Top Bottom