Wananchi Wakiwa katika Viwanja vya Maisara Kutambua Miili ya Jamaa Zao. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi Wakiwa katika Viwanja vya Maisara Kutambua Miili ya Jamaa Zao.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Jul 19, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=3][/h]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  Jamaa wa mmoja wa marehemu wa ajali ya Boti akiwa na simazi ya kuondokewa na jamaa yake katika tukio la ajali hiyo, baada ya kuitambua maiti ya jamaa yake iliopelekwa katika viwanja vya maisara.
  [​IMG]
  Baadhi ya Wanandugu wakiwa katika foleni kusubiri kutambua miili ya Ndugu zao waliopata ajali ya kuzama kwa boti ya Kampuni ya SeaGull.jana katika bahari ya Zanzibar.
  [​IMG]
  Wananchi wakiwa katika viwanja vya mpira Mairasa kusubiri kutambua miili ya jamaa zao.​


  Imewekwa na MAPARA at 2:56 PM
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,838
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Viongozi wenu wamemuasi mungu wanaona FREEMASON NDIYO DILI mtakufa hadi muishe na ccm kutoka madarakani ng'o hata kwa mapanga.CCM ni kama ALSAAD kule Syria
   
 3. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Unataka kusema nini hapo? Freemason ina uhusiano gani na ajali hii?
   
 4. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Masikini nimepata SIMANZI kubwa baada ya kuona hizi Picha. Inatia uchungu sana.
   
 5. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,092
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  Hizi habari za msiba na hili tukio kwa ujumla linasikitisha sana...Nawapa pole sana wafiwa na waathirika wakuu wa mkasa huu,Mungu Mtakatifu awape faraja yake timilifu....
   
 6. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Inasikitisha sana,poleni sana wafiwa na wapumzike kwa amani waliotangulia mble ya haki
   
 7. a

  annalolo JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni huzuni kubwa Mungu awarehemu wote waliotangulia mbele ya haki. Jambo la ajabu kila ajali ya majini inapotokea wanakuwa hawajui idadi kamili ya watu walokuwemo. serikali yetu hawataki kujifunza na kuwawajibisha watu wanaohusika. basi hili nalo tutatajiwa idadi ndogo kumbe watu kibao wamefariki dunia.
   
 8. M

  Mzalendo_Mkweli JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 719
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Hili tukio linatia Simanzi Sana.Kwa takwimu za hadi sasa, tumepoteza watanzania wenzetu wangapi?
   
 9. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  kuna umuhimu wakuweka kikomo cha umli wa meli kubeba abiria,haiingii akilini watanzania wanapoteza maisha kwa uzembe wa watu wachache,vinginevyo tuwe nasheri kari kama CHINA,ingekuwa china jmosi wausika kwisha kazi.
   
 10. T

  Tenths Senior Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Poleni sana ndugu zetu tuko pamoja katika wakati huu mgumu.
   
 11. H

  Haika JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  poleni wafiwa, jipeni moyo mnaosubiri majibu au miili ya ndugu zenu wapendwa.
  mungu awajaze nguvu ili muweze kupokea na hili.
  Ni gumu sana!!
  Nchi yetu hii????
  Ni ajabu sana (only in Tanzania)
  Tutakufa hadi lini?
  Hivi nani alitolewa kafara ile meli ingine ilioua ndugu zetu? Nimesahau, hivi kesi iliisha!!
   
 12. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  Eeeh! Mwenyezi mungu mwingi wa rehema uponyae machungu na huzuni zote mioyoni mwa wanadamu, ebu keti katikati ya ndugu zetu wa zanzibar na uwatie nguvu kwenye wakati huu mgumu kwao.
   
Loading...