Nani anakula rambi rambi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anakula rambi rambi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TIQO, Jul 19, 2012.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Wakuu tukikumbuka ajali ya Nungwe rambi rambi nyingi zilitolewa na tumeshuhudia balozi seif ldd akiendelea kupokea lakini hatujashuhudia akiwakabidhi wafiwa wa ile ajali. Jana tena ajali ya boti imetokea hapo Chumbe na makampuni mbali mbali yameanza kutoa rambi rambi. Je ni nani anakula rambi rambi zinazotolewa?
   
Loading...