Chadema na hujuma za ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na hujuma za ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jul 19, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Naogopa Ulimboka asije akasema kuwa CDM imehusika na kuratibu mpango mzima,aloo ! Sijui CDM watafanyaje.:spy:
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu huchoki maana kila post au thread unayoianzisha ni ya CDM
  Kuna watanzania wamekwama kwenye meli iliyozama kule hebu jipe muda uwafikirie kidogo kuliko kila time wewe na CDM
  Kila thread ni issue ile ile hebu wafikirie kidogo watanzania waliopoteza maisha
   
 3. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  yule aliyepata kipigo pale muhimbili akaangusha redion call alikuwa nani
   
 4. s

  sawabho JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Hao CDM ni akina nani ? Kama mpaka sasa hajawasema, itakuwaje awaseme baadaye !!! Mawazo, masikio na macho yako katika hali ilivyo kule Zanzibar. Acha kwanza mambo yako hayo ya taarifa za Kiinteligensia.
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  How? Maana dots mbona hazijiunganishi?
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mwiba ficha upumbavu wako usifiche hekima zako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Zanzibar nimeshasema ,kuwa watu wanakufa kila siku,hata mimi na wewe tupo kwenye waiting list huwezi kujua !
  Mimi nipo na waliokuwa hai ambapo mimi na wewe ni mmoja wao,Hazidishiwi wala hapunguziwi mtu muda wake ,ahadi zao zimefika na ambao bado wameokolewa . Tatiso sisi turipo hai .
   
 8. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mambo yanaweza kugeuka jamani ,hela inatumika siku hizi .Kila kitu kujipanga ,mtakuja kuwacha midomowazi !
   
 9. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Nahisi kama umekosea hapo kwenye red; siyo kwamba ulidhamiria kuweka C ila tu kidole kikateleza in the direction of 11:55?
   
 10. y

  yetabula Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Hivi ni kweli kuwa kuuliza siyo ujinga???
   
 11. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Akili zikigeuka upsidedown unaweza kuanzia kusoma chini ya kitabu kuja juu! Ninakihisi kitu kama hicho hapa!
   
 12. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kwani wakati wa manabii au mitume watu walikuwa hawaulizi ?
   
 13. n

  nya2nya2 Senior Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hyu jamaa mwiba unamuwasha kweli kwenye masaburi,yaani kila dakika cdm huna cha kufanya?
   
 14. B

  Bob G JF Bronze Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Duh! una bahati mbaya Dr ulimboka anaendelea vizuri na ameshasema alie husika anatoka ikulu, na kwakua ikulu hawakai CDM ni uwenda wazimu kufikiria na kujitisha mwenyewe kuwa itakuwaje. haiji kutokea CDM kuhusishwa na mambo ya ccm
   
 15. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  nape kakutuma, nenda kanase posho kwanza akili yako iwe sawasawa ndo uje ni siasa zako maji taka
   
 16. i

  iseesa JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Natumai hata kwenye ndoto zako za mang'amung'amu huweweseka na kupiga makelele za CHADEMA. Hongera sana
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,827
  Trophy Points: 280
  hivi ni nani alikuwa wa mwisho kuomba muongozo kati ya Ahmadi rashidi na lukuvi?
   
 18. N

  Ndet Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  hapo kwenye red tuachwe midomo wazi mara ngapi? wakati tangu aliposema aliyemteka anatoka ikulu watu tuliachwa midomo wazi?
   
 19. m

  majebere JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Sio lazima aseme, imekwisha julikana kuwa CDM ndio wahusika,huoni wanavyo tapatapa
   
 20. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we jamaa mda mwingine unakuwa bogas kabisaa, mbona unaheshima yako mkuu kwanini ujiharibie kwa mambo madogo, tupo na huzuni bwana watanzania wenzetu wamekufa achana na mambo ya cdm japo siku 3 tu za maombelezo!
   
Loading...