Taarifa ya Nape Moses Nnauye.

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Kutokana na msiba
mkubwa uliolikumba
Taifa kwa kuzama kwa
meli ya Sea gull, Chama
Cha Mapinduzi kimeamua
kuahirisha Mkutano wa
leo wa Kigoma mpaka
siku ya Jumapili jioni...!
 
Wameshimdwa kuwahakikishia raia usalama wao hvyo imepoteza haki kikatiba ya kuendelea kushika dola
 
Huyu Nape zile siku 90 za kuvuliwa Gamba Edward Ngoyai Lowassa hazifiki tu?
 
Sea gull ..hii meli imezama wapi na ni meli ya wapi.....??
 
"Huyu Nape anakula fedha za chama, ndio maana tumbo lake linazidi kukua kila siku" - Mukama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom