Mbinu Rahisi ya Kuirekebisha CCM iweze kuongoza vizuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu Rahisi ya Kuirekebisha CCM iweze kuongoza vizuri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Avanti, Aug 10, 2012.

 1. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Moja ya thread za leo kuna mtu katoa hoja jinsi vyama vya siasa vya upinzani vinavyoweza kuungana na kuitoa CCM madarakani. Mwanzishaji wa thread inaonekana lengo lake kubwa ni kuing'oa CCM madarakani tu - that is the core objective. Nimekuwa nikiona pia watu wengi wanafikiri kuitoa CCM madarakani badala ya kufikiri ni kwa nini CCM itolewe madarakani. Tukitambua ni kwa nini CCM inapaswa kutolewa madarakani basi nafikiri tutakuwa sahihi zaidi katika uamauzi wetu huo. Kikubwa ninachotaka kuomba wadau wachangie hapa je ni mbinu gani CCM inaweza ikatumia ili iweze kuongoza vizuri na kutufanya Watanzania wengi waweze kuiamini tena?
   
 2. T

  Tata JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Warudi Zanzibar wakalitose baharini lile azimio lao la kimya kimya la mwaka 1992 lililoleta sera ya ruksa.
   
Loading...