Mkutano wa marais wa nchi za maziwa makuu: Joyce Banda hakualikwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa marais wa nchi za maziwa makuu: Joyce Banda hakualikwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mungi, Aug 8, 2012.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Rais wa Rwanda Maj. General Paul Kagame, Rais wa Tanzania Mh.Dr.Dr. Jakaya Kikwere, Rais wa Uganda Maj. Gen. Yoweri Museveni, Rais wa DRC Joseph Kabila (Mungi).
   
 2. B

  Bijou JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Uliza kwanza HAYO Maziwa makuu ni yep i, usikurupuke
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Ziwa Nyasa siyo mmoja ya maziwa makuu? nakuuliza mkuu!
  Kama ni ziwa dogo ugomvi wa nini?
   
 4. B

  Bijou JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Sorry!!!! Lake nyasa aka lake Malawi SI sehemu ya HAYO Maziwa makuu
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kumbe JK anapatana na kagame?
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Hawapatani, ila hana ujanja inabidi akubali tu! akikumbuka kauli ya Kagame kuwa nikipewa kuiongoza Tanzania, kwa hifadhi peke yake bila madini ataifanya Tanzania kuwa ulaya hana hamu!
   
 7. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  jembe Kagame na poyoyo Jkey
   
 8. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Huyu Museveni, sijui ni ushamba au ugonjwa?
  Hilo kofia la nini na yuko indoors!
   
 9. B

  Bumela Senior Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kundi la wanajeshi wasioaminiana si patatokea vita hapo?
   
 10. d

  davidfrance82 Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  uliza kwanza mkuu.....
   
 11. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  meipenda hii!
   
 12. K

  Kibuyupembe Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  maziwa madogo pia ni muhimu
   
 13. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Mkutano wa wanaume waliowahi kuwa wanajeshi hivyo mama alitafakari akapwaya. Ndio maana Zitto alipendekeza wanasiasa vijana waende JKT kumbe alimaanisha mambo haya!
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mungi google ipo kwa ajili yako ifiche upumbavu wako.
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mkuu ukificha upumbavu wako utapotezana maana ya upumbavu!
   
 16. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ngoja tumtafutie la Pink kama la malkia ili tujue yeye ni mambo swafi
   
 17. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Usikute kila mmoja ana bomu la kutupa na bastola kwenye makoti yao!
   
 18. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Pamoko
   
 19. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Badala ya kumuulizia Kibaki na Nkurunzina unamuulizia Banda!!!
  Kuna watu wako negative by nature!!!!!!!!!!!!
   
 20. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hapendi kuonekana ana kipara!! Hahahahha umeniwahi nilitaka kuuliza swali hilo hilo
   
Loading...