LEO MALIASILI NA UTALII - ITAKUWAJE? - Kagasheki Vs Lembeli vs Msigwa

Arusha Mambo

Senior Member
Jan 27, 2011
174
150
Leo inasomwa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii Bungeni Dodoma ambapo wazungumzaji wakuu watakuwa Mh. Waziri Kagasheki Vs Lembeli vs Msigwa,

Ili kusikiliza bonyeza hapa:
http://tunein.com/tuner/?StationId=158711& - Redio ikifunguka usiache ku LIKE

na kutuma maoni yako kwa
info@arushamambo.com
 
Leo ni lazima kuna Mambo yataibuka, yaani by saa saba kutakuwa tayari kumechafuka
kulikuwa kumepoa sana heri tupate cha kuzungumza.....
 
Bandugu serekali hii, kupitia muhimili wa kutoa haki inhukumu wezi wa kuku na vibaka, poisi wetu katika kutafuta wahalifu wanakamata na wavuta bangi na upekuzi wa bangi mifukoni mwa watu na sio kazi yao kwende kukagua ndege zimebeba nini na zinaelekea wapi. Serekali dhaifu hii batanzania benzangu, chini ya kiongozi mahiri mh, dhaifu kiongozi wa kile chama cha Mabwepande
 
"mwenyekiti wa ccm karatu ni jangili mkubwa" kwa mujibu wa msigwa!
 
Back
Top Bottom