Mabadiliko ya Katiba na Mahakama Huru Kenya Ya Msulubu Rais Mstaafu Moi kwa Kupora Ardhi ya Mkulima

kanga

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,025
494
Ndugu zangu tushiriki vema katika kutoa maoni bora kwenye tume ya mabadiliko ya katiba nchini inayoendelea kukusanya maoni nchini ili kuleta katiba na utawala bora.Zoezi kama ilo liliofanyika nchini Kenya baada ya uchaguzi mwaka 2007 ambapo vyombo huru vya haki na katiba viliundwa ili kulinda utawala bora nchini Kenya ambapo taasisi kama Mahakama,ofisi ya DPP,AG zimewekwa huru sana kiasi kwamba hakuna mwanasiasa anaweza kuzifanyia mchezo mchafu kama ilivyokuwa zamani au kama ilivyo hapa nchini Tanzania.Matokeo ya mabadiliko hayo rais mstaafu wa kenya Prof.Moi amesistishwa umiki wa ardhi ekari 100 alizopora toka kwa mkulima mzungu na Mkulima alikimbilia mahakamani na hukumu kutolewa jana.(NTV, KENYA).
hatua hiini funzo kwa viongozi waporaji na mafisadi nchini na hatua kama hizo zitakuwa zinachukuliwa mara baada ya katiba yetu mpya 2014 ya kuondoa Rais Mungu na Mfalme ambaye kila kitu ni yeye kuanzia kuteua Karani mpaka mpishi.
 
Back
Top Bottom