Katika mkutano wake wa leo kidudwe mtibwa 27.08.2012 Makala anaacha kuongea mambo ya maana anakalia mambo ya kinafiki na ya kipuuzi mno. kweli JK ulikosa waziri wa kumteua?
Angalia hoja zake hapa...
....Amewaomba polisi wamuombe Dr Slaa ushahidi kuwa CCM wameingiza silaha kwa ajili ya vijana wao waliopo makambini, akiri kuwa uwa CCM uwa wanawaweka vijana makambini kujadili mambo mbalimbali...
​​​​Mwalimu nyerere katika kitabu chake cha Uongozi wetu na hatima ya Tanzania aliwahi kuandika, Chama legelege huzaa serikali regelege. Nami nasema, kama hiyo ikitokea...
Monday, 27 August 2012 07:55
*KAMATI KUU YATOA TAMKO KUWAPONGEZA MAWAZIRI WALIOWAWAJIBISHA WATENDAJI WA MASHIRIKA YA UMMA
Raymond Kaminyoge
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM...
JK: Aendesha Kikao Cha Kamati Kuu Ya CCM.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao mcha Kamati Kuu cha CCM leo Agosti 24, 2012 jijini Dar es salaam...
Haya wanasheria wa vijiweni na mashabiki wa kisiasa naomba maoni yenu.
Kutokana na ukweli kuwa katika kesi ya ubunge Igunga , Mbunge wake Dr Kafumu ameangushwa kutokana na sababu nyingi.
Lakini...
Ni kuhusu kumpa nafasi Shigolile RPC Moro kuongelea kwa upande wao kuhusu tukio la kuzuia maandamano. Ch Ten wangetenda haki iwapo msemaji wa CDM nae angepewa nafasi rasmi ya kulizungumzia tukio...
Wanajamvi, si jambo geni kuwa chadema haiko katika good term na vyombo vya dola. Ni kutokana na madai kuwa dola inakihujumu chama hicho katika harakati zake za kuongoza nchi. Mimi sina uhakika na...
Nimemsikiliza Dr Kawambwa waziri mwenye dhamana ya kusimamia elimu nchini kwenye serikali hii ya JK nimesikitika sana na mwisho kubaini kabisa hastahili uwaziri. Anaeleza wamelazimika kutoa...
Baadhi ya viongozi wa CCM na CUF wilaya ya Magu Mkoani Mwanza wamejiuzulu nyazifa zao na kujiunga na CHADEMA kwa madai kuwa wamelenga kuwatumikia wananchi kikamilifu.
Source: ITV​
Mh naibu waziri naona umeamua kugawa jepikipiki kwa vijana wako ili mshinde udiwani kata ya Mtibwa,sisi tunahoji uhalali wa kutoa zawadi hizo wakati huu wakati uchaguzi wa diwani umetimia. kumbuka...
Tatizo kubwa la kwanza la serikali ya Tanzania ya CCM ni (1) Sheria hazifuatwi kwa watu wenye uwezo na mafisadi (2) Rushwa iko wazi na hakuna linalofanyika. Bila kutatua haya matatizo wananchi...
Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond Mh. EDWARD LOWASSA amemtaka Gavana wa Benki kuu kuelezea umma ni kwanini mfumuko wa bei haushuki.
Je alipokuwa serikalini alikuwa halioni hili? Au...
Kesho nitawawekea video ya mkutano wa chadema reading ambapo mtaweza kusikia jinsi jamaa yetu Mwigulu Nchemba atajuta kwa nini alivalisha mbwa bendera ya chadema.#
Swali kwa mwigulu,
JEE UNAJUA...
Kwamba Al Shaabab wamekuwa wakipata mamilioni ya dola kutokana na shughuli za uharamia huko Somalia. Lakini dalili zote zinaonesha kuwa fedha hizo huhamishwa na kuingizwa katika mifumo ambayo...
Makamanda ninadhani sasa ni muda muafaka kwa majemedali wetu wa CDM kuanza kutuambia ni mikakati gani wameiweka juu ya sera ya utawala wa nchi hasa katika mambo ya ulinzi na usalama, sera ya nje...
General Davis Mwamunyange
Mwamunyanga: Hatutaingia vitani na Malawi
WIKI moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema Tanzania haina mpango wa kupigana na Malawi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na...
Hivi huyu aliekuwa mtendaji mkuu wa TANESCO (Mhando) na wenzake wanastahili adhabu gani kwa kutengeneza mgao wa maksudi hadi yafuatayo yakawaathiri ambao kimsingi wanaishi maisha ya chini kama...
Nilitakaa kushangaa kama BBC swahili wasingerusha habari za chadema na machafuko Morogoro,kama walinisikia wakarusha,habari yenyewe too bias, eti polisi wasingeruhusu maandamano wakafunga barabara...
Nairat: Ninaumwa ugonjwa wa ajabu, nisaidieni
NI MTOTO MDOGO AMBAYE AMEKATISHA MASOMO KUSAKA MATIBABU
Sunday, 26 August 2012
Salma Said NAIRAT Hamis Ali ni mtoto wa miaka saba aliyelazimika...