Nape: CHADEMA wamepanga kufanya fujo mkutano wao Morogoro

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
....Amewaomba polisi wamuombe Dr Slaa ushahidi kuwa CCM wameingiza silaha kwa ajili ya vijana wao waliopo makambini, akiri kuwa uwa CCM uwa wanawaweka vijana makambini kujadili mambo mbalimbali.

....Asema CHADEMA wamepanga kujifanyia fujo kwenye mkutano wao utakaofanyika Morogoro mjini.

My take:

Hivi itawezekanaje wewe kujifanyia fujo kwenye mkutano wako mwenyewe?

Source: ITV
 
Huyu Mapepe Ninayo au Nape Nauye mbona anaongea kama hamnazo. Bure kabisa. Nape you are but a gooon. Shame on you! Umeona mlivyonyolewa Igunga? We ngoja kiama chenu mwaka 2015.
 
CCM wamemwacha huyu bwana mdogo ahangaike mwenyewe kwani wao wanajua mipango yote lakini yeye ameachwa kama chambo. Ni huyu huyu Nape ambaye alikuwa analalamika kuhujumiwa na serikali ya JK na EL. Leo kupewa nafasi tu, basi kawa vuvuzela tu
 
anasema kwenye kontena la kura walimsamehe Dr.Slaa kwani walijua anatamani kuingia ikulu,Ila kwa hili hawatasamehe, aidha amesema kuwa dr Slaa anazeeka vibaya awaachie vijana wafanye siasa
 
NAPE ni mchochezi, anatishia amani nchini.
Kama serikali iko makini, angepewa onyo, kauli zake ni hatari sana. Kazi ya publicity secretary inahitaji mtu diplomatic, mwenye kauli nzuri na mtu mstaarabu. Lakini pia shule na exposure ni kitu muhimu sana, huyu mwenzetu hizi sifa hana. Mimi sina chama lakini afuate mifano ya wenzie au apelekwe kozi nje aone nchi za watu wastaarabu wanavyofanya kazi.
Huyu hana tofauti na manyang'au au maimai au al shabaab.
Tunataka siasa za amani NAPE, usiwe chanzo cha machafuko.
 
"My majesty Mr. Queen Sir,

horrible ministers and members of parliament, invented Guests, ladies under gentlemen.

I hereby thank you completely…..Mr. Queen, sir; and also what he has done for me and my fellow Uganda who come with me.

We have really eaten very much. And we are fed up completely:
And also very thanks to you keenly open up from all windows:
so that those plenty climates can come into lunch. But before I go back to my country with a plane from the Entebbe airport of London I wish to invitation you Mr. Queen, to become home to Uganda so that we can also revenge on you .

You will eat a full cow: and also feel up your stomach and walk with difficult because of full stomach completely.

Even when you want to rest at night; I will make sure that you sleep on top of me in the top up stairs of my mansion completely so that you can enjoy all the gravity of fresh air.

"But now am sorry because I have to tell you that I have made a short call on you only. But next time I shall make a long call
on you to last the whole moon completely. Thank you very much to allow me to undress you completely before these extinguished
ladies under gentlemen sir.

Lastly but not list, I ask the band to play our international anthem of the republic of Uganda and also the British international anthem…Your majesty sir, I thank you from the bottom of my heart and from the bottoms of all the people of Uganda .

With this few words I thank you Sir.

By Idd Amin
 
Siasa ina manjonjo yake. Kama kuna ushaidi juu ya jambo hilo si autoe!! Kama hana ushaidi, si akiri aliropoka????? Ugumu uko wapi??? Tuache siasa za maji taka, tufanye siasa za ustaarabu.
 
Nimechukizwa na kauli ya kusema dk anazeeka vibaya,. Nape jaribu kua na adabu hata kama ccm hamweshimiani ila mnaogopa,. Dk mpe heshima yake
 
Hapa naona ni mpambano wa makatibu wakuu wa ccm na cdm. Hivi yule mzee mwenye sharubu kama amita bachana ndio nani vile ccm?
 
Mfa maji haachi kutapatapa. Naona mwisho wao wakaribia hivyo muacheni abwabwaje kwa dakika za majeruhi. Nape pwaaa.... Sisiemu ziii...
 
Nape ni kichaa, kukimbizana na kichaa nawe utaonekana kichaa. Mwache apulize vuvuzela akiishiwa mate ataliacha huku m4c ikigonga kotekote
 
Nape anachanganyikiwa jamani!
Sasa tujifanyie fujo wenyewe ili iweje?
Halafu nambeni kujua kuna sheria
inayo ruhusu chama kuweka watu kwenye makambi???Na je kama CHADEMA tunge weka vijana kwenye makambi Nape unge semaje???
 
mama yangu co mpnz wa siasa na chama chake ni ccm! Lakn kwa hili la Nape leo ameguna na kusema' uyu kijana ni KITUKO ndan ya ccm
 
Pix-6.jpg

Jitihada za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) za kuwafikia wanachi ili kunadi sera zake, hususan katika mikutano inayoendelea katika mkoa wa Morogoro, zilikumbana na vikwazo mbali mbali katika baadhi ya maeneo, kama inavyoonyesha pichani, mtaro uliochimbwa katika barabara ya kuingia kijiji cha Namgezi kitongoji cha Kambi ya Keya jimbo la Ulanga Mashariki, kwa lengo la kuzuia magari yasipite.Picha na Joseph Senga
source: www.hakingowi.com

Kwa hiyo Mh. Nape anataka tuamini CHADEMA inaweza kujihujumu yenye?
 
Siasa ina manjonjo yake. Kama kuna ushaidi juu ya jambo hilo si autoe!! Kama hana ushaidi, si akiri aliropoka????? Ugumu uko wapi??? Tuache siasa za maji taka, tufanye siasa za ustaarabu.

Waambie policcm wakamkamate/wakamhoji Dr. Slaa kuhusu hii tuhuma kama wanajiamini.
Mmemsusia chama chenu nape kwakuwa ni vuvuzela yeye ni kupiga kelele tuuu bila mpangilio.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom