Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal Aongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano mkuu wa 16 wa kimataifa wa wakuu wa nchi na serikali usiofungamana na upande wowote Duniani,Teheran Iran.
Makamu wa Rais...
Tangu jana huku Iringa zoezi la kuhesabu watu limesimama kutokana na ukosefu wa madodoso marefu. pamoja na serikali kujitapa kuwa vifaa vipo. wananchi wamehamasishwa na kuhamasika tatizo liko kwa...
South African Marikana miners charged with murder
Workers arrested at South Africa's Marikana mine have been charged in court with the murder of 34 of their colleagues shot by police...
baada ya mgomo 'feki' wa waalimu kupigwa stop mahakamani.leo hii ndugu mkoba kaibuka na kuomba serikali irudi kwenye meza ya mazungumzo.
Katibu wa CWT ameomba walimu wapewe fursa ya kukanyaga red...
ALHAMISI, AGOSTI 30, 2012 05:16 NA BENJAMIN MASESE, DAR ES SALAAM
KAMPUNI ya BAE System ya Uingereza, imekubali kuiuzia Tanzania kifaa kipya cha rada ya kuongozea ndege iliyoharibika hivi...
KAMPUNI ya BAE System ya Uingereza, imekubali kuiuzia Tanzania kifaa kipya cha rada ya kuongozea ndege iliyoharibika hivi karibuni.
Taarifa za kampuni hiyo kukubali kufanya biashara na...
Ya Igunga, CCM na jeuri ya madaraka!
Na Mashaka Mgeta, 26th August 2012
Waliokuwa wajanja, walishiriki kikamilifu kukionya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika hatua za awali za...
Kiwango cha wasio jua kusoma na kuandika nchini Tanzania kimeongezeka kwa asilimia mbili tangu mwaka 1992.
Kulingana na Takwimu zilizotolewa na mkurugenzi wa taasisi ya elimu ya watu wazima...
Magazeti ya kesho yataandika hili, ukweli ni kuwa Mh. Mbowe anafanya makosa ya kiufundi dhidi ya wapinzani wake.
Inasemekana huko hai madiwani wamekuja juu baada ya kupewa taarifa kuwa vikao...
Na Graca Masha, Arusha
WAKILI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Method Kimomogoro, ameiomba mahakama kuwapeleka magereza waliokuwa madiwani watano wa chama hicho jijini...
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana Siasa za Tanzania tangu mwaka 2004 hadi sasa. Kwa kawaida kwenye vyama vya Siasa kuna watu 'Potential' ambao huwa kwenye 'Big five'. Leo nimelazimika kuuliza...
jk na mh.pinda turudushieni mamlaka ya dar es salaam kwa meya moja tu awe na sauti na mji wake huu uozo mlotuwekea kuwa namameya wengi hauna na hautakuwa na tiba kwa jiji hili hii ni njia kuongeza...
JANA tarehe 29/08/2012 Katika ziara Mheshimiwa Samwel Sitta Wazira wa Jumuiya ya Afrika Mashari Kutoka Wilaya ya Karagwe kuelekea Wilaya ya Kyerwa kulitokea ajali ya garia la Ofisa wa Ubalozi wa...
Nimejiuliza wenzetu wanaongelea nchi yao na issues....lakini wanasiasa wetu wamekazana kuojiongelea wao na wapambe wao..
Inamaana hakuna wanasiasa hasa vijana wenye kuweza kujenga hoja za msingi...
Cdm kimeonekana chama imara, lakini kisipokuwa makini na vipandikizi kitasumbuliwa sana, na ili kiwe safi, fukuza vipandikizi vyote kikianza na shiubuda