Rais 2015 ni Prof.Lipumba toka CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais 2015 ni Prof.Lipumba toka CUF

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Bornvilla, Jul 8, 2012.

 1. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kama unataka au hutaki ndio hivyohivyo!
   
 2. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hahahaha kama unadhani ni kweli bas hapo unajitekenya mwenyewe alafu unacheka
   
 3. Lenja

  Lenja Senior Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yaani wewe ni CHIZIIIIIIIIIIIIIIIIIIII Km siyo chizi, basi we MAHUTUTI, NA upo ktk hali ya KOMA.
  Yaani, hujitambuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 4. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Naona bado uko usingizini unaota njozi....yaani chama chenye mbunge mmoja huku Bara
  kinawezaje kuchukua nchi? Labda atakua Rais wa Buguruni kwavile pale ndipo ilipo makao
  makuu ya CUF....RIP CUF!
   
 5. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Na admire kuto kukata tamaa kwa mashabiki wa huyu mtu aisee. CUF ilisha kufa 2010 lakini bado kuna mashabiki wanao jipa moyo kuwa ita fufuka.
   
 6. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,800
  Likes Received: 17,886
  Trophy Points: 280
  Mambo ya vijiwe vya kahawa vya Buguruni usituletee hapa, usitujazie post baki na dada zako fb, hapa ni analysis za kushiba.............
   
 7. nilikuwepo

  nilikuwepo Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  prof. Lipumba is a lost cause
  do not waste your time discussing this man
   
 8. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hii post imekaa kifesibuku zaidi
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Labda awe rahisi 2015!
   
 10. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Rais Wa cuf sio TZ
   
 11. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nimesema hivi! Kama hamtaki acheni! Lakini huo ndio ukweli!Mbinu zote za CDM tunazijua na ndio maana kwa mbinu iliyotumiwa kuingiza imani katika vichwa vyenu na kuwafanya kuwa vipofu! Mbinu mliyotumia kuiangamiza ndio mbinu itakayowamaliza kwani hata bible inasema atakaye ua kwa upanga na yeye atauawa kwa upanga! CDM imekamata wahariri wote! Hivyo CDM acheni kujipa matumaini kwani siku sionyingi CDM itaporomoka kutokana na uozo uliomo ndani!
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Uamsho at work!
   
 13. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  If wishes were horses beggers would ride!
   
 14. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  Bornvilla wewe unajulikana kwa udini, sound like an affiliate of Uamsho group
   
 15. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  ana matatizo mawili makubwa Cardiac arrest na brain concassion msamehe mwache aendelee na tiba, hope he will recover and come back to his senses!
   
 16. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Naona ataendelea kuwa mgombea pumba wa kila uchaguzi. Na mtaendelea sana tu kumpokea pale uwanja wa ndege Dsm, kila anaporudi kutoka UK kwenye semina za uchumi hewa.
   
 17. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Naona mmeamua na mwenzako@vijisenti
   
 18. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Lipumba mwenyewe anajua hawezi kuwa Rais, alafu keshaolewa na CCM na wewe unataka ndoa kwake, ALL THE BEST.
   
 19. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ebwana wapi mishikaki ya utumbo wa kuku?
   
 20. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,845
  Trophy Points: 280
  hivi cuf hakuna mtu mwingine wa kugombea tofauti na prof...kila siku yeye tuuuuu..tumemchoka!!!!!! tunataka watu wapya wakuuuuuuuu
   
Loading...