Vikao vya madiwani willaya ya Hai kutofanyika mpaka Mbowe arudi toka USA!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vikao vya madiwani willaya ya Hai kutofanyika mpaka Mbowe arudi toka USA!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwikimbi, Aug 30, 2012.

 1. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Magazeti ya kesho yataandika hili, ukweli ni kuwa Mh. Mbowe anafanya makosa ya kiufundi dhidi ya wapinzani wake.

  Inasemekana huko hai madiwani wamekuja juu baada ya kupewa taarifa kuwa vikao muhimu kama vile kamati ya fedha havitafanyika mpaka Mh. Mbowe arudi toka ughaibuni aliko hivi sasa.

  Inawezekana hili limefanywa au kuamuliwa bila ridhaa yake lakini litakuchafua mwenyekiti
   
 2. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Bado sijaelewa Mbowe anaingia vipi. Quorum imetimia? if yes nani aliyeagiza Mbowe asubiriwe? sababu gani imetolewa?
   
 3. M

  MKOMBOZI1 Senior Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Chanzo kamili cha hii taarifa ni kipi?
   
 4. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Rudia tena Mkuu, inamaana Kamanda Mbowe asipokuwepo mambo hayafanyiki kabisa hapo Hai??
   
 5. u

  usungilo JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 501
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  Mbona wanavyokuwa bungeni au bwenye vikao vya kamati za bunge mambo yanaendelea kama kawaida? Wabunge wenyewe huwa hawahudhurii vikao vya halmashauri hata wakiwepo humu humu nchi, sembuse us? Hii habari ya kupikwa.
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu kadi yako ya CCM ni namba ngapi? naona umekuja na propaganda nyingine tena
   
 7. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  Mh. Mbowe mara nyingi huwa yupo nje ya jimbo lake la uchaguzi. Kwa mfano kimaisha/kikazi ni mkazi wa Dar, kibunge ni KUB hivyo anakuwa bungeni/Dodoma muda mwingi tu. Sasa muda huo wote hao madiwani huwa hawafanyi vikao?

  Aisee rudi studio....!!
   
 8. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  Bwana Nape Nnauye, hivi huwa unawapata wapi hawa watendaji/wasaidizi wako? Nauliza tu.
   
 9. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Imekaa vibaya ,haijatulia.
   
 10. Ocheke

  Ocheke JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 274
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Naona watu wa nape leo wamepanga wadeal na kilimanjaro maana wameanza na jafary meya wa moshi na hii ya mbowe kuhusu hai tunasubiri ya rombo naona ipo jikon nape anaikagua
   
Loading...