Mjumbe wa NEC ya CCM taifa kurudisha kadi mkutano wa CHADEMA Reading

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Kuna habari ambazo bado hazijathibitishwa kuwa kada wa ccm ambaye pia ni mjumbe wa NEC kwa muda mrefu yuko Uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mkutano mkubwa wa Chadema utakaofanyika Reading tarehe 26/08/2012. Habari kutoka vyanzo vyetu vinasema mjumbe huyo kaamua kufanya hivyo kwa sababu amechoshwa na mambo mengi yanayofanywa na CCM kwa hiyo ameamua kuingia upinzani ili aweze kuwakosoa bila kuwa na hofu
MORE DETAILS TO COME..

UPDATES...
Hizi habari zimethibitishwa lakini mhusika ambaye tayari ameisha shika nyadhifa mbali mbali serikalini kaomba jina lake lisitajwe kwa sasa mpaka siku ya mkutano ambao utarekodiwa na video zitarushwa kwenye television mbali mbali Bongo
 
Chilisosi,
Hii habari ni nzuri kama itakuwa haijaongezwa chumvi, tomatpsosi wala chilisosi. Hii itakuwa ni twanga kotekote!
 
Halafu mimi kinachoniboa na baadhi ya members ni kuwahi mno kuposti habari kabla hazija'mature.
Imagine huyu mtu akisoma hapa ataamua nn?
Majuzi Lema aliongea hadharani kuwa Sita na wenzie wangetangaza kujiunga na cdm, lkn waliposikia wakatangaza kuwa hawana ndoto hizo!
Tuwekeni hbr zenye credibility.
 
Isijekuwa anatafuta hifadhi kufichia madhambi yake. Tuwapime kwani ngumu sana kumpata mwanamagamba msafi.
 
KWANINI ASITAJWE KAMA ANANIA THABITI???
UPDATES...
Hizi habari zimethibitishwa lakini mhusika ambaye tayari ameisha shika nyadhifa mbali mbali serikalini kaomba jina lake lisitajwe kwa sasa mpaka siku ya mkutano ambao utarekodiwa na video zitarushwa kwenye television mbali mbali Bongo[/QUOTE]
 
kuna habari ambazo bado hazijathibitishwa kuwa kada wa ccm ambaye pia ni mjumbe wa nec kwa muda mrefu yuko uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mkutano mkubwa wa chadema utakaofanyika reading tarehe 26/08/2012. Habari kutoka vyanzo vyetu vinasema mjumbe huyo kaamua kufanya hivyo kwa sababu amechoshwa na mambo mengi yanayofanywa na ccm kwa hiyo ameamua kuingia upinzani ili aweze kuwakosoa bila kuwa na hofu
more details to come..

Updates...
Hizi habari zimethibitishwa lakini mhusika ambaye tayari ameisha shika nyadhifa mbali mbali serikalini kaomba jina lake lisitajwe kwa sasa mpaka siku ya mkutano ambao utarekodiwa na video zitarushwa kwenye television mbali mbali bongo

tumechoka na habari za siri siri mtajeni>>> we r tired now... Habari hizi msiweke kama hamna jina
 
abuu faraji tuma wajumbe kwa ajili ya kupeleka habari kwa balozi maana hatumuogopi mtu utabakia kuwa kibaraka wa utawala mbovu lakini tunamtanguliza mungu na tutafanikiwa nyie ccm tambikeni uweni wapinzani fugeni majini chadema ni nguvu ya mungu tu
 
Kuna habari ambazo bado hazijathibitishwa kuwa kada wa ccm ambaye pia ni mjumbe wa NEC kwa muda mrefu yuko Uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mkutano mkubwa wa Chadema utakaofanyika Reading tarehe 26/08/2012. Habari kutoka vyanzo vyetu vinasema mjumbe huyo kaamua kufanya hivyo kwa sababu amechoshwa na mambo mengi yanayofanywa na CCM kwa hiyo ameamua kuingia upinzani ili aweze kuwakosoa bila kuwa na hofu
MORE DETAILS TO COME..

UPDATES...
Hizi habari zimethibitishwa lakini mhusika ambaye tayari ameisha shika nyadhifa mbali mbali serikalini kaomba jina lake lisitajwe kwa sasa mpaka siku ya mkutano ambao utarekodiwa na video zitarushwa kwenye television mbali mbali Bongo
Karibu Reading Mzee wa Kazi.lakini nakutahadharisha tu ile orodha yako ya wasomi wengi wao hawana kazi za professional tunalinda nao madukani au yule Mzee Aseri anafanya Care hapa Reading kile cheo cha kusema Mwenyekiti wa Copmuter 4 Africa si kazi ya kulipwa. Aseri hana tofauti na Susan mzee wote wanaogesha wazee wa kizungu.hata DR Lusing==== hajwawahi kufanya kazi ya professional.na ni failure through and through waulize DP chama cha Mtikila na CCM Reading aligombea ukatibu wa CCM akapigwa chini . huko TA ameongoza kama katibu mkuu hakuna alilofanya akaja kuwa Mwenyekiti hakuweza kuitisha kikao hata kimoja. ni liability hana uwezo wa kisiasa. na watakudharau wewe kuwa huna shule .
 
Halafu mimi kinachoniboa na baadhi ya members ni kuwahi mno kuposti habari kabla hazija'mature.
Imagine huyu mtu akisoma hapa ataamua nn?
Majuzi Lema aliongea hadharani kuwa Sita na wenzie wangetangaza kujiunga na cdm, lkn waliposikia wakatangaza kuwa hawana ndoto hizo!
Tuwekeni hbr zenye credibility.
mkuu siyo sababu, mtu mzima ukiamua kitu umeshaamua. huyo sita ni mtata, bado anafikiria kwamba ccm itampa urais kwa upande mwingine bado anaipenda CDM na sera zake za kurudisha madaraka kwa wananchi. wanasiasa ndiyo walivyo.....
 
abuu faraji tuma wajumbe kwa ajili ya kupeleka habari kwa balozi maana hatumuogopi mtu utabakia kuwa kibaraka wa utawala mbovu lakini tunamtanguliza mungu na tutafanikiwa nyie ccm tambikeni uweni wapinzani fugeni majini chadema ni nguvu ya mungu tu

Huyo jamaa ni mpambe tu asikupe tabu. kushinda ubbalozini au kuwa mpambe wa balozi sio kuwa usalama wa taifa. Mtu wa usalama wa taifa hawezi kuzunguka mitaani kujisifu kuwa anafanya kazi ikulu
 
abuu faraji tuma wajumbe kwa ajili ya kupeleka habari kwa balozi maana hatumuogopi mtu utabakia kuwa kibaraka wa utawala mbovu lakini tunamtanguliza mungu na tutafanikiwa nyie ccm tambikeni uweni wapinzani fugeni majini chadema ni nguvu ya mungu tu

Kweli chadema ni chama cha walokole, kinategemea mungu na maombi...aleluja!!!!
 
Halafu mimi kinachoniboa na baadhi ya members ni kuwahi mno kuposti habari kabla hazija'mature.
Imagine huyu mtu akisoma hapa ataamua nn?
Majuzi Lema aliongea hadharani kuwa Sita na wenzie wangetangaza kujiunga na cdm, lkn waliposikia wakatangaza kuwa hawana ndoto hizo!
Tuwekeni hbr zenye credibility.
Ukimtaja Lema, mie namjua kama mropokaji sana....na haionyeshi atajirekebisha!
 
Chilisosi ni malariasugu version ya chadema! Yaani mjumbe wa nec anataka kurudisha kadi, tukio kubwa hivyo likafanyike Reading, kwenye kikao cha kichekibobu ambacho hata hakitambuliwi na katiba ya chama!!!
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom