CCM sasa tujipange upya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM sasa tujipange upya.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Concrete, Aug 24, 2012.

 1. C

  Concrete JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni kauli iliyotolewa na Mh. Samwel Sitta mara baada ya kutolewa hukumu iliyotengua ushindi wa CCM katika jimbo la Igunga ikitafsiliwa kuwa ni kushindwa kwa mfumo wa sasa wa uiendeshaji wa siasa za CCM dhidi ya wapinzani wao wa CHADEMA.

  Toka wakati na baada ya kwisha kwa uchaguzi mkuu wa 2010, mfumo wa siasa za ccm dhidi ya upinzani(Chadema) zimejikita kwenye;

  1/KUJIVUA GAMBA (kuwafukuza mafisadi wanaokichafua chama nk.)

  2/PROPAGANDA CHAFU (Udini, Ukabila, Ukanda, Ufisadi, Uzushi nk.)

  3/RUSHWA WAKATI WA KAMPENI (kanga, Fulana, Kofia, Fedha, Ubwabwa, Pombe, Misaada, Ahadi za kiserikali nk.)

  4/MAMLUKI (Kununua viongozi wa upinzani, Kutumia baadhi ya vyama vya siasa, kupandikiza wanasiasa nk.)

  5/MATUMIZI YA DOLA (Polisi, kuingilia bunge, kushinikiza mahakama, kutumia watendaji wa serikali nk.)

  6/KUDANDIA HOJA (Ufisadi, Katiba mpya, Mgombea binafsi nk.)

  7/KUIGA SIASA ZA UPINZANI (Kuikosoa serikali hadharani, kuandamana, kufanya mikutano ya hadhara mara kwa mara, matumizi ya helkopta, Kutoa matamko mbalimbali nk.)

  8/SIASA ZA KIMAFIA (Usanii, Vitisho, Upambikiziaji, Unyanyasaji, Utekaji, Vipigo, Utesaji, Uuaji?! nk.)

  9/KUDHIBITI MEDIA (kuhonga, kutishia, kuwashtaki wahariri, kuvifungia, kupandikiza watu, kuhodhi vyombo vya umma nk.)

  Hayo ni baadhi ya mambo ambayo yamekuwa yakisimamiwa na kuratibiwa barabara na baadhi ya makada.

  Ni vipi CCM inaweza kujipanga upya tofauti na hayo halafu ikaweza kufanikiwa?
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Roho ya ccm imeshauacha mwili! Kinachotakiwa kufanywa ni kuandaa maziko maana mipango ya mazishi inaendelea ikiongozwa na m4c
   
 3. I

  Iramba Junior Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This is perfect answer, no swali la nyengeza
   
 4. a

  armanisankara JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sijkuelewa mkuu yani samuel sitta ndo aliongea hizi ishu au wewe ndo umefikiria haya mambo.
   
Loading...