MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,194
CCM tutumie matokeo ya kesi ya ubunge wa Igunga kuwa ni changamoto na itupe funzo la kubadili namna ya uendeshaji wa kampeni za uchaguzi pamoja na timu ya kampeni.
Twende na wakati ILI:
1. Tutenganishe nafasi ya kisiasa na kiserikali
2. Raslimali na vyeo vya kiserikali visiwe ni kigezo cha kupatia kura
3. Tutumie vijana walioenda shule katika kuibua makombora ya kushambulia CDM majukwaani
4. Wakati umefika kwa Mwigulu, Nape, Lusinde kuachwa kutumika wakati wa kampeni
5. Tuepuke kutumia viongozi wa BAKWATA (Masheikh) kwa vile waislam walio wengi hawana mshiko na BAKWATA
Mwisho uchaguzi ndani ya chama mwaka huu, utumike kuwapata viongozi wenye dhamira ya kurudisha imani kwa wananchi na si vinginevyo.