Zahma na kero ya makarani wa sensa morogoro vijijini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zahma na kero ya makarani wa sensa morogoro vijijini.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by samilakadunda, Aug 24, 2012.

 1. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,700
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ivi zahma ya sensa ya 2012 nitatizo la kitaifa au ni kimikoa tu! Nipo hapa mkoa wa morogoro wilaya ya morogoro vijiji, kwa taarifa ya makarani wenye wa sensa walipewataarifa jana wafike na walifika,matokeo yake waliruhusiwa kurudi makwao kwa taarifa ya kwamba vifaa havijafika mkoani,wakaarifiwa kufika leo wapo hapa kituocha ka mikese shule ya msingi wakiwa hawana taarifa yeyote juu ya nini kinaendelea toka saa 2 asubuh hadi sasa wamepoteza matumaini kwani hakuna taarifa yeyote! Najua kunawanaohusika na zoezi hili hamna budi kutambua uchafu na ujinga uliopo kwa watendaji wenu.Najiuliza hivi nikweli kwamba zoezi hili limechukua 10yrs na gharama kubwa?HIVINAVYO ANDIKA MAKALANI WANAAFIKIANA KUTAWANYIKA KWA TAARIFA KWAMBA VIFAA WATAPELEKEWA MAJUMBANI KWAO.
   
Loading...