Kwa wanao penda mageuzi ya fikra na maendeleo ya kwali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanao penda mageuzi ya fikra na maendeleo ya kwali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by stable, Aug 24, 2012.

 1. s

  stable Senior Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 45
  [FONT=&amp]Imekuwa ni utaratibu wa member wengi kusema tumechoka no uozo huu unaofanywa na serikali yetu kiziwi!na ukweli ni kuwa tunafahamu fika adui wetu wa maendeleo. Na kwa uelewa wa kawaida unapofahamu adui anaekushambulia ni lazima kufanya yafuatayo[/FONT]

  [FONT=&amp]Ujihadhari na mashambulizi[/FONT]

  [FONT=&amp]Ujikinge[/FONT]

  [FONT=&amp]Upambane nae[/FONT]

  [FONT=&amp]Umkimbie [/FONT]

  [FONT=&amp]Sasa wanajamvi wengi tunafahamu maadui zetu ambao ni[/FONT]

  [FONT=&amp]1 CCM- wanachama walio na fikra duni pamoja na viongozi wenyekuongoza fikra zao duni (refer mchungaji msigwa speech)[/FONT]

  [FONT=&amp]2 Mafisadi-Mkulu wa kaya,mawaziri,RC,DC,………almost all levels headed by nyinyiem japo wachache ni wasafi[/FONT]

  [FONT=&amp]3 wabunge hasa- ccm members[/FONT]

  [FONT=&amp]4 vibaraka wa ccm wanao vaa sura ya upinzani.[/FONT]

  [FONT=&amp]Hoja yangu haitaija data wala source!!!!![/FONT]

  [FONT=&amp]Ni kwanini wale wote tunaoguswa na maendeleo ya nchi yetu pamojana mabadiliko ya kifikra tusianzishe movement kupambana na hawa maadui kwa kufanya yafuatayo:[/FONT]

  [FONT=&amp]1.kishawishi hata baadhi ya wanajeshi kutoa support[/FONT]

  [FONT=&amp]2. kujitokeza na kupinga hawa maadui na si kwa maneno tu (refer a case ukombozi south Africa)[/FONT]

  [FONT=&amp]3.Kushawishi wazazi, hasa kinamama na vijana majumbani kwetu kukichukia chama kilicho tuweka kwenye haya matatizo ya mabwepande na ajali za kila siku za magari kwa rushwa za wale wavaa nguo nyeupe barabarani[/FONT]

  [FONT=&amp]4. tuanze kuchukua hatua kwa kupanga mikakati yenyeuhai na si maneno ktk jukwaa hili.[/FONT]

  [FONT=&amp]Wapi tukutane? Member wenyekuguswa na hili>> najitolea gharama zozote niko mstari wa mbele, iwe maradhi, chakula, na hata mavazi.[/FONT]

  [FONT=&amp]Imeniuma saaaana baada ya kuona mama mmoja leo kafukuzwa akidai haki yake pale NSSF[/FONT]

  [FONT=&amp]Ukiona haikifai usichangie_...........[/FONT]

  [FONT=&amp]Ukichangia pumba wewe ni Ant kaundime mpenda wanaume[/FONT]
   
Loading...