Mwenyekiti TAHLISO anagombea ujumbe wa NEC-CCM

Aug 18, 2012
17
2
Kwa habari kutoka kwa badhi ya Maraisi wa vyuo viku inasemekana mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi vyuo vikuu anagombea ujumbe wa NEC-CCM ambapo katikati ya wiki hii aliwakutanisha baadhi ya maraisi wa vyuo vikuu katika ofisi ya TAKUKURU na viongozi baadhi wa CCM. Right ingekuwa anagombea CDM au chama kinginu ungezuka mtafaruku mkubwa sana.
 
Mkuu Jana nilileta thread ya kuwa ccm imekutana na maraisi wa vyuo huko kwenye ofisi za pccb ikapigwa chini sijui mods wamekuaje siku hizi Karibu hili jamvi litakuwa Kama gazeti la Rai. Tena kwenye hicho kikao pilau lilikuwepo
 
Duuh!oooh hairuhusiwi kujihusisha na siasa ukiwa chuoni!

Najua walimaanisha hairuhusiwi kujihusisha na Chadema ukiwa chuoni.
 
anaitwa Paul Makonda na hagombei nafasi ya mjumbe wa NEC-CCM bali anagombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa UVCCM Taifa.
 
Waliposema hakuna siasa mavyuoni ilikua kwa upande wa CDM tuu,lakn muacheni huyu kijana bado yupo gizani
 
anaitwa Paul Makonda na hagombei nafasi ya mjumbe wa NEC-CCM bali anagombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa UVCCM Taifa.

kwa aliyenipa taarifa ndio alinimislead but yote yanausisha serikali za wanafunzi wa vyuo vikuu haziruhusiwi kufanya siasa za vyama vya upinzani ila CCM ni sawa
 
anaitwa Paul Makonda na hagombei nafasi ya mjumbe wa NEC-CCM bali anagombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa UVCCM Taifa.
Amekaa MOCCOBS siku nyingi sana hata haijulikani ni kozi gani alikuwa anachukua na ndie aliyekuwa mpelelzi wa ccm kujua wanachuo wasioipenda ccm na kuanza kudeal nao
 
Mtoa taarifa tunakushukuru. Lakini kama unaijua vyema historia ya TAHLISO ni kuwa kwa sasa ni taasisi ya CCM hasa pale Ridhiwani na Kingunge walipoinunua rasmi katika ule uchaguzi mkuu uliofanyika dodoma miaka kama mitatu iliyopita. Hii ilitokana nahofu kuwa vyuo vikuu vyote vya nchi vikiwa na uongozi thabiti usiotokana na CCM wanafunzi wa vyuo vikuu wanaweza kuungana wakaiangusha serikali( ya kizembe ya CCM) kama ilivyotokea huko Indonesia, na matafa mengine.  Hivyo usishangae kuona kuwa Rais wake anagombea CCM
 
Back
Top Bottom