Mvomero kumelipuka makala apanga kujibu mapigo!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mvomero kumelipuka makala apanga kujibu mapigo!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Man 4 M4C, Aug 22, 2012.

 1. Man 4 M4C

  Man 4 M4C JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 737
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mikutano ya M4C imeleta balaa kubwa wilayani mvomero baada ya wananchi wengi wakiwemo wanachama wa ccm kuamua kujiunga na cdm. Timbwili ili limemtoa mafichoni mbunge wa jimbo hilo na kuamua kuanza kujibu mapigo,anajipanga kupita maeneo yote ambayo m4c imepita. habari za uhakika kutoka ccm ni kwamba mh ameingia hofu na anataka kujaribu kutuliza moto wa m4c.

  ''Amos,you will never walk alone"
   
 2. C

  Concrete JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Amechelewa sana, alikuwa wapi siku zote?
   
 3. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  .
  Alikuwa anaugulia maumivu ya kunyang'anywa uweka hazina na badala yake kapewa mzinzi.
  .
   
 4. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Style yao inanifurahisha sana.
   
 5. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kaazi kweli kweli, mbegu zilizopandwa uko na ukimya wake bungeni ana kazi kubwa kweli kweli..
   
 6. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  yuko bize na uwaziri. si wajua mbunge akishakuwa waziri na uwakilishi wake jimboni hukoma. tehetehe
   
 7. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  M4C itawarudisha majimboni magamba mmoja baada ya mwingine.
  Tena hawa ndio wanachangia msongamano wa magari hapa mjini wakati wanatakiwa kuwepo majimboni kwao.
   
 8. dymosy

  dymosy Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanacdm msijali, NITAMNG'OA MAKALA KWA AIBU 2015! Tathmini yangu kwa mkoa wangu wa morogoro ni kwamba CCM IMEFANYA MKOA WA MOROGORO SHAMBA LA BIBI KWA KUTEUA HOPELESS, UNQUALIFIED CANDIDATES AMBAO HAWAMPI RAIS KICHWA MOTO KUWAFIKIRIA KATIKA UWAZIRI..NO SENSE...STATUS YA MJI KASORO BAHARI IMESHUKA SANA KWA SABABU YA HAWA WAPUMBAFU WAKINA ABOOD...
   
Loading...