Mzee wa Upako ampinga Prof. Shivji suala la Muswada Katiba Mpya

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Mzee wa Upako aka Mch Antony Lusekelo amesema kwa kuwa Rais Kikwete amesha saini mswaada wa katiba mpya kinachotakiwa sasa ni kuaminiana tu hakuna haja ya kuupinga!.Amewataka wananch na wadau mbalimbali kujitokeza na kuunga mkono Mswaada huo kwa kuchangia mawazo.Amesema Katiba iliyopo sasa haina makosa mengi ya kurekebisha! Source :gzt Mwananch leo
 
Amesema ili kufikia tamati ya Uwapo wa Katiba mpya ni lazima Watanzania Waaminiane,hakuna haja ya Kupingana
 
Mzee wa Upako aka Mch Antony Lusekelo amesema kwa kuwa Rais Kikwete amesha saini mswaada wa katiba mpya kinachotakiwa sasa ni kuaminiana tu hakuna haja ya kuupinga!.Amewataka wananch na wadau mbalimbali kujitokeza na kuunga mkono Mswaada huo kwa kuchangia mawazo.Amesema Katiba iliyopo sasa haina makosa mengi ya kurekebisha! Source :gzt Mwananch leo
My hairs!
Hivi amewahi kuisoma katiba huyu mchungaji!
Hawa ndio wale wanaenjoy mazingira wanayoandaliwa na waumini na fedha za sadaka, wanachojua wao ni kuwa nchi hii ni ya maziwa na asali!
 
Lusekero wewe fukuza mashetani ndani ya mioyo ya wanakondoo; lakini uchambuzi wa mambo ya Siasa na Uchumi waachie wenyewe walibobea kaka yangu. upeo na karama anagawa mwenyezi sasa wewe umepewa hiyo na wengine wamepewa nyinginezo...
 
100% .....na aache kutumiwa na CCM full stop...
 
Hana sifs za kumpinga Prof SHIVJI maana hata istoria yake haifahamiki katika mchango wa taifa,siyo kila kiongozi wa dini anamaono juu ya taifa la msingi ni kumpuuza na kusifu jitihada za mzee shvji ambaye siku zote analitakia taifa hili maendeleo
 
Mzee wa Upako aka Mch Antony Lusekelo amesema kwa kuwa Rais Kikwete amesha saini mswaada wa katiba mpya kinachotakiwa sasa ni kuaminiana tu hakuna haja ya kuupinga!.Amewataka wananch na wadau mbalimbali kujitokeza na kuunga mkono Mswaada huo kwa kuchangia mawazo.Amesema Katiba iliyopo sasa haina makosa mengi ya kurekebisha! Source :gzt Mwananch leo
Nimesikia mzee wa Upako akikemea siasa za Chuki ndani ya CCM wakati yeye alijitangaza kuwa Kampeni manaja wa Jk 2010.Hata hivyo yeye Mzee wa Upako anachuki kubwa na Askof Mwasata katibu mkuu PCT.Askof Mwasota ndiye aliye mchukua mzee wa Upako Mby baada ya maombi ya mama yake .Mwasota alimfundisha Mzee wa upako kozi ya Uchungaji na kufungua tawi la Kibangu.Baada ya kupata sadaka nyingi Mch.Lusekelo akampindua Askof Mwasota na kujiita Mzee wa upako na kusajili upya.Hadi leo Mzee wa Upako haelewani na Askof Mwasota.Mwaka 2010 Mzee Upako akiwa kampenia Jk alifanya njama na kumuweka ndani Askof Mwasota kwa kisingizio kuwa amemuibia Tsh20m, Kwa kutuma majambazi.RPC alituma watu wake na kufanya uchunguzi ikabainika kuwa ni chuki
Za kidini na Madaraka yalitokana yalitokana
 
Mzee wa Upako aka Mch Antony Lusekelo amesema kwa kuwa Rais Kikwete amesha saini mswaada wa katiba mpya kinachotakiwa sasa ni kuaminiana tu hakuna haja ya kuupinga!.Amewataka wananch na wadau mbalimbali kujitokeza na kuunga mkono Mswaada huo kwa kuchangia mawazo.Amesema Katiba iliyopo sasa haina makosa mengi ya kurekebisha! Source :gzt Mwananch leo
Heri na nyie viongozi wa dini mseme, maana sisi wengine tukisema tunaambiwa ni magamba. Hiki alichokisema mzee wa upako ni sahihi kabisa na ninamuunga mkono.
 
Lusekero wewe fukuza mashetani ndani ya mioyo ya wanakondoo; lakini uchambuzi wa mambo ya Siasa na Uchumi waachie wenyewe walibobea kaka yangu. upeo na karama anagawa mwenyezi sasa wewe umepewa hiyo na wengine wamepewa nyinginezo...
Hawezi kufukuza Mashetani wala mapepo kwani anatumia pete ya Marehemu Shehe Yahya.Unakumbuka baada ya Kifo chake alisema Shehe Yahaya alikuwa mtumish wa Mungu na wakati anakufa aliota akamuona anakwenda pepeni
 
Mzee wa Upako , Mch Rwakatare na Mch Alphonce Temba ndio waliopewa fedha na CCM na kuwatangazia Watanzania kuwa Jakaya Kikwete ni Chaguo la Mungu kwa kuwa ameshinda kwa kishindo uchaguz 2010
 
Mzee wa upako huwa hajui kuandika pia huwa hataki kuhojiwa namba yake ya simu ni 0713725473 .Ukitaka kuwasiliana naye mpaka utume kwanza ujumbe ndipo yeye akupigie kama unahadhi kwake vinginevyo ni mtu wa kujifichaficha na kuishi Kiujanja janja.
 
kelele zote za shivj anataka awe miongoni mwa wajumbe wa tume ndiyo maana kila cku anakosoa. Sasa hz kelele zake aziendeleze tuu huko nje tuzichambue maana na cc tunaona mapungufu katika mapendekezo yake na mawazo yake ni ya kwake binafsi asiseme anawasemea watanzania wote.
 
Back
Top Bottom