Tahadhari vibaka na sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari vibaka na sensa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msendekwa, Aug 24, 2012.

 1. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naomba kuwashirikisha hili wana fikra pevu.
  Waratibu wa sensa wanatuambia sensa itaanza usiku wa kuamkia Aug 26.
  Nachelea vibaka na wezi wasije tumia mwanya huo, wanakuja kukugongea saa 9 usiku, wakijidai ni kina Ngoswe(makarani wa sensa),
  kwa nia njema ukafungua, wakakupora mali na roho.
  Nadhani watu wa sensa wanapaswa kutoa elimu na tahadhari zaidi kwa umma kuhusu hili suala.
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,329
  Likes Received: 2,980
  Trophy Points: 280
  :director: uangalifu ni muhimu sana.
   
 3. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Mh, kwenye msafara wa mamba kenge huwa hawakosekani...
   
 4. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Na ukizingatia govt inatoa onyo kuwa atakaekataa kuhesabiwa anatenda jinai,
  wanaweza tumia mwanya huo kukutisha ufungue, kwamba ukigoma,
  umetenda jinai,
  kumba wakora.
  Dhahama inakukuta!
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hicho kitu mie pia nimejiuliza .....hawa vibaka sina hakika kama watatuacha salama kwa mda huo!
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  hata kwa viboko usiku sitofungua geti, si tu kwa ajili ya usalama bali pia wala sitokatisha usingizi wangu na kuhatarisha maisha yangu na ya familia.......
   
Loading...