Graph ya JK Yapanda kwa Kasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Graph ya JK Yapanda kwa Kasi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Aug 24, 2012.

?

Nini maoni yako kuhusu approval rate baada ya uteuzi wa baraza jipya?

 1. Approval Rate above 70%

  4 vote(s)
  11.1%
 2. Approval Rate between 40-69%

  3 vote(s)
  8.3%
 3. Approval Rate below 40%

  29 vote(s)
  80.6%
 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mimi kwa maoni yangu, JK aliharibu sana nchi hata ikafika mahali ikaonekana anaweza asimalize kipindi cha uongozi wake. U turn imetokea baada ya kuteua baraza jipya ambalo lina watu wazuri kupita mabaraza yake yote tangia achaguliwe. Kwa jinsi hii naomba tupige kura kwamba JK ame improve au la!
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Acha ipande kama moshi angani; my foot!!!!
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Thibitisha kwa takwimu na mifano hai.
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  piga kura mwenyewe usitusumbue
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kweli hii ni e-bange

  ameimpuluvu sana, umefurahi sasa?
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  bado sana, hadi zile ahadi zake zitimizwe! nadhani unakumbuka aliyoahidi! Vinginevyo utakuwa unafiki kuanza kumsifia wakati hakuna matokeo yatokanayo na hizo changes. Vuta subira utapiga kura haraka ya nini!!
   
 7. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  No improvement at all! Alichokifanya ni kuwaweka marafiki wake kwenye wilaya/mikoa. Mfano mmoja: Cap Chiku Galawa ni ndugu tumbo moja na mzazi mwenzake aliyezaa naye Ridhiwan. This is a single example mind! Of course kuna mawaziri amewaweka (mmoja wawili) like Mwakyembe, kagasheki wanafanya vizuri. General finding ni kuwa he is no better!
   
 8. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado sijaona anachokifanya, Mawaziri anachagua mwenyewe wakifanya kazi nzuri anawatimua au anawaamisha!! iyo nayo ni akili kweli? Akuna jipya ajikongoje amalize muda wake.
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  It is too late
   
 10. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Sasa wewe unaanzisha POLL unaacha kujiweka kati (neutral); si ungeipeleka huko GAMBANI ambako ungepata matokeo mnayoyataka? Hapa utaambulia namba za viatu tu. Hapa hakuna za kuchonga!
   
 11. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Bado ni mapema mno kutoa tathmini , kwani wale walionyimwa ulaji inaelekea watawakwamisha hawa mawaziri km ilivyotokea bungeni kwa waziri wa nishati
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Usitutafutie ban bure.
  Phweeeeeeeeeee!!
   
 13. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  SINOVET na REDET mumeanza? Au?
  Hebu toweni tena utabiri wenu kwa jimbo la Igunga.
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  dhaifu ni dhaifu tu, alipanda mbegu ya udini sasa ataivuna kwenye sensa
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Statistics zako bana dah!
   
 16. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Eti JK ame-improve. Njie ndiyo maouza kura zenu kwa sahani ya Pilau.
   
 17. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Mh, kaazi kwelikweli!...
   
 18. C

  Concrete JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mawaziri wenyewe mbona ni magamba wale wale waliotukwamisha na kututia hasara tu, kwa mfano:
  1/Dr. Abdallah Kigoda(ugawaji bure wa mashirika ya umma),
  2/Stephen Wassira(Uuaji wa demokrasia),
  3/Prof. Jumanne Maghembe(ufisadi),
  4/Celina Kombani(upeo mdogo),
  5/Hawa Ghasia(Ajira hewa),
  6/Lazaro Nyarandu(Ufisadi),
   
 19. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,959
  Trophy Points: 280
  Watu watajaa humukwenye uzi huu maana ni maajabu kwa upande mmoja na kwa upande mwingine tunapenda sana kudanganywa sijui kwanini.
   
 20. m

  makundi4619 JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 486
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ipande isipande haina maana, tena it is meaningless. Sorry buddy it is too late!! Kwa nini alifanya mzaha muda wote huu kwa kuteua viongozi wasio waadilifu, wavivu na waroho ilihali akiwajua vema. Hapa ninazingatia ile hali ya uswahiba kutawala sana utashi wake katika kuwateua? Kiongozi mzuri anatakiwa awe na hekima, aepuke upendeleo ili kudumisha mshikamano ili kupunguza malalamiko yaliyoko katika jamii yetu ambayo ameyalea. Matatizo mengi hayajayatolea majibu huku akiwa na uwezo nayo why??????????????
   
Loading...