Tarime: Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa ahojiwa na Polisi

Status
Not open for further replies.

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,414
John Heche, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa anahojiwa na polisi muda huu na anahojiwa na OCCID George wa Sirari kwa kutumia lugha za uchochezi jukwaani na kumwita Rais Kikwete "ombaomba".

Mwandishi wetu anatufahamisha kuwa mpaka muda huu alikuwa anaendelea kuhojiwa hivyo taarifa za kitakachofuata tutaziongezea kwenye hii thread.

UPDATE:

- Saa 2 dk 40 kwa mida ya Tanzania, Heche kamaliza kuandika maelezo yake ambayo yameandikwa kurasa nne hivi. Amehojiwa na ASP George Wilbert.
- Wakati Heche akifanyiwa mahojiano kuna kachero mmoja alionekana akitaka kurekodi maelezo, Heche akamkatalia na kufuta kilichokuwa kimeanza kurekodiwa kwenye simu ya kachero huyo.
 
Hayo ni kawaida kwa viongozi wetu wa cdm..2shazoea.angekuwa ni MGAMBA ningeshangaa
 
What a sub standard government! Hii kauli nakumbuka Lipumba pia alishawahi kuisema wakati anafunga kampeni za Urais wa mwaka 2010 pale Jangwani, nanukuu ,,Tukimwambia mwenzetu apunguze safari za nje, anasema anafuatilia vyandarua" mwisho wa kunukuu
 
Tulianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU.

Watashindana lakini hawata shida.
 
Jamani hii ndio Tanzania niulize swali "UPINZANI ukichukua nchi hao viongozi wa POLICE watakuwa upande upi kwan iright now wanaonesha kutopenda what UPINZANI does"
 
John Heche, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa anahojiwa na polisi muda huu na anahojiwa na OCCID George wa Sirari kwa kutumia lugha za uchochezi jukwaani na kumwita Rais Kikwete "ombaomba".

Mwandishi wetu anatufahamisha kuwa mpaka muda huu alikuwa anaendelea kuhojiwa hivyo taarifa za kitakachofuata tutaziongezea kwenye hii thread.
Ndio tatizo la Kitaifa hili lkutoelewa maana ya SIASA za vyama vingi.. Nadhani Polisi mwetu wamezoea serikali ya chama kimoja ambacho kinatawala na sio kuongoza.

John Heche ana kila haki ya kuhoji sera za za JK na OMBAOMBA maadam chama chake kinapingana na sera hizo. Kinachotakiwa ni CCM kujibu mapigo na sio Polisi kuingilia ushindani wa sera. kusema kweli naanza kuamini sasa kwamba Nyerere anaweza kuwa ndiye alotuachia matatizo mengi nchini kutokana na watu wengi kuzoea siasa za chama kimoja na zitdumu fikra za mwenyekiti.. Mwenyekiti ndiye rais hivyo yeyote anayepingana na maamuzi yake ni mhujumu..
 
John Heche, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa anahojiwa na polisi muda huu na anahojiwa na OCCID George wa Sirari kwa kutumia lugha za uchochezi jukwaani na kumwita Rais Kikwete "ombaomba".

Mwandishi wetu anatufahamisha kuwa mpaka muda huu alikuwa anaendelea kuhojiwa hivyo taarifa za kitakachofuata tutaziongezea kwenye hii thread.
Huyu OCCID ni kipofu, Kiziwi au mjinga?
Kwani hajui msingi wa ziara za kila siku mpaka anasutwa kwa kuonyeshwa akaunti za wa-Tz wanye matrion huko nje ya nchi?.
Kusikia ukweli imewauma!.
 
Wampeleke mahakamani tu huyu amezidi kuropokaropoka na kukosa adabu kwenye nidhamu!
 
mpaka sasa kwa mujibu wa taarifaza viongozi wa chama walioko huko plice sirari wilayani tarime inasemekana kuna kesi zaidi ya tatu ammbazo mh heche anakabiliwa nazo ikiwemo
1 kumuita rais ombo omba
2kutangazia umma kuwa polisi kanda maalum tarime na rorya wamekithiri kuwabambikiza vijana kesi za mauaji;robary;na hata kuzuia fursa za wafanyabiashara ndogondogo hatimaye polisi ndio wanaomiliki magari na hata pikipkiki
3rais kusababisha maisha ya wanatarime kuwa magumu kwa kuachia dhahabu inaenda ulaya huku yeye anarudi na net
heche ameambatana na wakil wake na amewaonya polisi wasimhoji kwa mashinikizo
 
Sasa hapo cha Ajabu ni nini! Au alitaka amwite "Ombwa ombwa"? Labda anajua nyuma ya pazia sakata la "Mwarabu" na suti 5!
 
Kwani matonya aliitwaje?na kwanini aliitwa hivyo?je anatofautiana vp? Na mwenyekiti mfu wa akili awapo ziarani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom