Nape awajibu CHADEMA, asema siku saba ni nyingi mno!

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
KOMRAD NAPE LIVE NA WANAHABARI MUDA HUU CCM LUMUMBA K/KOO. AWAJIBU CHADEMA..

."..siku saba walizonipa nyingi sana,ushahidi upo kwa kila nachosema...waende mahakamani leo wasisubiri siku saba....wakati huo huo wamsaidie mzee Slaa kuja na ushahidi mahakamani wakusema CCM IMEINGIZA SILAHA,TUNATAKA AJE AOMBE RADHI kwa njia ile ile na tutadai fidia bilion 3, na tayari wanasheria wameshaanza hatua"
ASANTENI.

My take.siasa ya tanzania imeharibika,kila mtu ni mbabe,wanaoumia ni wananchi.
 
TANURU LA FIKRA

nape huna jipya. naona umeanza kudai ushahidi wa slaa kuingizwa na magamba
 
dar tu serikali ya magamba imeshindwa kupeleka vifaa vya sensa KATA YA BUNJU makarani wamekaa wanasubiri madodoso. Na huko mikoani ndo ikoje. haya ndo mambo ya kuita wanahabari cio hiyo hoja ya NAPE.
 
yangu macho,maana kila mtu anadai mwenzake aende mahakamani na ushahidi anao.
 
Siku ambayo tutaondokana na siasa za umbijani ndio tutapata kupona...we waache walumbane uamuzi wa kila mwananchi ni kura yake hapo 2015
 
TANURU LA FIKRA

KOMRAD NAPE LIVE NA WANAHABARI MUDA HUU CCM LUMUMBA K/KOO. AWAJIBU CHADEMA..
."..siku saba walizonipa nyingi sana,ushahidi upo kwa kila nachosema...waende mahakamani leo wasisubiri siku saba....wakati huo huo wamsaidie mzee Slaa kuja na ushahidi mahakamani wakusema CCM IMEINGIZA SILAHA,TUNATAKA AJE AOMBE RADHI kwa njia ile ile na tutadai fidia bilion 3, na tayari wanasheria wameshaanza hatua"
ASANTENI.

My take.siasa ya tanzania imeharibika,kila mtu ni mbabe,wanaoumia ni wananchi.
Waliozoea kusema uongo sasa ni mwisho.
Wananchi tutajua nani ni nai katika kusema ukweli.

Its Nape Vs Dr Slaa/Mnyika

Pambano la raundi tisa.

Kulia kwangu GREEN Corner ni CCM,Kushoto kwangu BLUE/RED corner ni CDM

Ticker tape:
CCM uzoefu wa miaka 36
CDM uzoefu wa miaka 15

CCM wameshinda kwa KO miaka yaote
CDM wanaishia raundi ya pili katika uhai wao

Lets get ready to RUMBLEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!
 
TANURU LA FIKRA

KOMRAD NAPE LIVE NA WANAHABARI MUDA HUU CCM LUMUMBA K/KOO. AWAJIBU CHADEMA..
."..siku saba walizonipa nyingi sana,ushahidi upo kwa kila nachosema...waende mahakamani leo wasisubiri siku saba....wakati huo huo wamsaidie mzee Slaa kuja na ushahidi mahakamani wakusema CCM IMEINGIZA SILAHA,TUNATAKA AJE AOMBE RADHI kwa njia ile ile na tutadai fidia bilion 3, na tayari wanasheria wameshaanza hatua"
ASANTENI.

My take.siasa ya tanzania imeharibika,kila mtu ni mbabe,wanaoumia ni wananchi.

sie tuna mambo meeengi,,,,sasa magazeti kwa wiki 3 yanaandika habar za malumbano ya hawa jamaa ccm chadema
 
Mnampa kichwa sana kumjadili Nape humu, kichwa chake hakina akili yule dogo, yuko kama baba yake. Amesahau kuwa baba yake Mzee Nnauye alizikwa nyumbani kwa mzee Yusuph Makamba kwa sababu hakuwa hata na Nyumba ya maana ya kuzikwa. Nape Acha kuwa kama babako. Ushauri tu wa bure, ongeza busara kidogo we bw mdogo.
 
Kama wote mna ushahid nenden mahakam tu sis yetu macho na masikio!! Ila kama kuna mtu anategemea mahakama itam'beba bas ajiulize mara mbili mbil maana Mahakimu wamechoka kubebeshwa lawama hasa kwenye hizo kesi za hadharani..!!
 
Kwani kumshtaki mtu lazima utoe siku saba?mbona wasiasa wa bongo wana mbwembwe.
 
Nape; you cant answer the question with the question. Kusema na wao walete ushaidi wa Dr Slaa kusema CCM wanaingiza silaha, haikuondolei kuwa ulisema uongo. Be careful with your sentences.
 
TANURU LA FIKRA

KOMRAD NAPE LIVE NA WANAHABARI MUDA HUU CCM LUMUMBA K/KOO. AWAJIBU CHADEMA..
."..siku saba walizonipa nyingi sana,ushahidi upo kwa kila nachosema...waende mahakamani leo wasisubiri siku saba....wakati huo huo wamsaidie mzee Slaa kuja na ushahidi mahakamani wakusema CCM IMEINGIZA SILAHA,TUNATAKA AJE AOMBE RADHI kwa njia ile ile na tutadai fidia bilion 3, na tayari wanasheria wameshaanza hatua"
ASANTENI.

My take.siasa ya tanzania imeharibika,kila mtu ni mbabe,wanaoumia ni wananchi.

Hapo kwenye red, huo ushahidi ni wa kesi ipi? au na yeye atashitaki? Hivi kumbe jamaa ni ***** kabisaa eeee, kesi ya Nape kuropoka sasa ushahidi wa siraha wa nini?
 
Na sasa! Huyu anaongea nini? Kama wao anahisi kuwa Dr Slaa aliwasingizia kuhusu kuingiza silaha nchini si wangekwenda Mahakamani tu? Kwa nini asubiri CDM wamtake aombe radhi ndo na yeye atishie kuwapeleka mahakamani! Yaani watu wengine unaweza kufikiri wamekua kumbe ndo baado watoto kabisa! Yaani yale yale ya enzi zile eti nikusemee umekula sukari naye anajibu na mimi nikusemee ulikula sukari! Kwa nini usiseme siku zote hizo? RA hakukosea kusema amechoshwa na siasa uchwara! Now I got what he meant!
 
Mnampa kichwa sana kumjadili Nape humu, kichwa chake hakina akili yule dogo, yuko kama baba yake. Amesahau kuwa baba yake Mzee Nnauye alizikwa nyumbani kwa mzee Yusuph Makamba kwa sababu hakuwa hata na Nyumba ya maana ya kuzikwa. Nape Acha kuwa kama babako. Ushauri tu wa bure, ongeza busara kidogo we bw mdogo.

Huyu dogo sio kama baba yake ,marehemu Moses alikuwa mtu wa msimamo na sio mtu wa kutumiwa; huyu dogo hajitambui mpaka sasa yeye ni nani katika hilo chama na ndio maana alitangatanga na kwenda kwenye chama kile walichoanzisha na wakina Sitta!! Baada ya chaguzi za chama chao watakapomtupa kama condom iliokwisha tumika hapo ndipo atakapojua kuwa chama cha magamba kina wenyewe ambao sasa wanamuangalia kwa jicho la husda!!
 
KOMRAD NAPE LIVE NA WANAHABARI MUDA HUU CCM LUMUMBA K/KOO. AWAJIBU CHADEMA..

."..siku saba walizonipa nyingi sana,ushahidi upo kwa kila nachosema...waende mahakamani leo wasisubiri siku saba....wakati huo huo wamsaidie mzee Slaa kuja na ushahidi mahakamani wakusema CCM IMEINGIZA SILAHA,TUNATAKA AJE AOMBE RADHI kwa njia ile ile na tutadai fidia bilion 3, na tayari wanasheria wameshaanza hatua"
ASANTENI.

My take.siasa ya tanzania imeharibika,kila mtu ni mbabe,wanaoumia ni wananchi.

fita ni fita muraa!
 
Huyo mpiga gitaa kachanganyikiwa badala kusisitiza sensa anaanzisha bifu la kitoto, hapo uenezi upo wapi??
 
Hivi ukiwa mwana ccm ni lazima u act uchizi ama? Manake ukiangalia wana ccm wale ambao ndo figure ya chama kichwani(reasoning) ni weupee hakuna kitu hebu mwangalie mwigulu, cheki mukama, msikilze nape na kubwa lao jk..duh kwel dalil ya mvua
 
Back
Top Bottom