AG Kumshtaki Tundu Antipas Lissu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

AG Kumshtaki Tundu Antipas Lissu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jaffary, Jul 13, 2012.

 1. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Ni kutokana na kauli yake ya dharau kwa majaji wa mahakama kuu na kuwataja kwa majina wahusika katika sakata la Ulimboka!
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Nilidhani wabunge wana Parliamentary privilege. Hawawezi kushitakiwa kwa mambo wanayoongea ndani ya bunge, no?
   
 3. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ashitaki aadhirike vizuri, na kilaza huyu atazomewa kweli, tunamtamani.
   
 4. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwaka mzuri sana huu.......... hizo zote ni diversion ya pesa za waswisi
   
 5. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mwanasheria mkuu ni kilaza namba moja, humgwaya sana tundu
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Lissu nadhani wakati mwingine huwa narukwa kidogo na fahamu, kwani kwa kauli yake ya leo juu ya kuwadharau majaji ni wazi kabisa amepotoka, na hakuna mtu mwenye akili timamu anaeweza kumtetea Lissu labda awe na moyo wa chuma

   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Lissu amekuwa mdogo kama pilton, amepewa hata mike kuongea amekataa, ameshikwa pabaya na ameingia choo cha kike leo, hana pa kutokea

   
 8. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Kawadharau kivipi Mkuu?
  waonaje ukafafanua kidogo
   
 9. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Vitisho vya kuwafunga mdomo wasemakweli vina mwisho wake
   
 10. a

  andrews JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  job ndungai au vyovyote wanvyokuita umevimbiwa unaibu spika unafikiri ur on top of the world,lakini kumbuka baba yako sita alishamtoa nje zito ndio umaarufu ukaongezeka sasa endeleza ubabe wenu wa ccm usiotumia hekima wala busara hata ile sara mnayoanza nayo asubuhi siyo ya kumuomba mungu sababu ccm hamumjui mungu 99%ya wabunge wenu ni washirikini wauwaji wa maalbino wazurumaji wa mli za maskini wezi wa mali ya umma na wanafiki hivyo sala inayokufaa wewe na wenzako wa ccm ni sara ya shetani tu na kumbuka unaibu spika unapita na very soon watakutosa kama sita
   
 11. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  ntashukuru kama nikipata more details! kumetokea nini? Lissu kasemaje? Ndugai kafanyaje?
   
 12. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  ofcoz wana hiyo priviledge lakini pale anaposema jambo la uongo na akakataa kulifuta anaweza kupelekwa kwenye tume ya nidhamu!
   
 13. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  majaji wameiheshimu sana kauli ya Lissu, maana kuna majaji makanjanja kibao huko nowadays, kilaza werema pekee ndo kavimbiwa!!!! Kwanza huyu jaji werema hata anaposoma kiingereza inamsumbua itakuwaje kwenye kuandika!!!
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Tatizo la wabunge wa CCM ni unafiki. Wakiwa huku nje wa bunge wanalalamika sana, lakini wakiingia ndani ya ukumbi na mbunge wa CHADEMA akiwasilisha malalamiko yale yale wanayopigia kelele nje wanaanza kuzomea!.

  Nadhani wameshatishiwa kuwa kama hawaku-side na govt uchaguzi utaitishwa! Na wao wamenunua that white lie!
   
 15. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  pitia hotuba ya lissu aliyoiwasilisha leo bungeni ipo humu!
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nadhani AG amwe mwangalifu maana ukweli umri wa majaji ni gumzo.
   
 17. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  asante, ngoja niitafute! asante much
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Fredrick ukiendelea kumfuatilia Lisu utapata stress. Amekuzidi sana huyo.
   
 19. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Na uhakika ww si mtanzania, njoo Tanzania tukufunze kiswahili, uwe na uwezo wakujenga hoja na ndipo uanze kuchangia.

   
 20. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  nadhani ubongo wake akiwa mdogo ulipata matatizo si kidogo au vumbi la kwao lilimdhuru manake anapayuka ovyo ovyo:A S-baby:
   
Loading...