Kongamano la Katiba Ubungo Plaza live! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kongamano la Katiba Ubungo Plaza live!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DALA, Sep 1, 2012.

 1. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 80
  Ndugu wana JF

  Hivi sasa niko kwenye ukumbi mojawapo ya Blue Pearl Hotel nikiwa mmoja wa washiriki katika kongamano la Katiba, Kongamano imeandaliwa na Jukwaa la Katiba linaloongozwa na Bw Deus Kibamba ambae alikuwa mzungumzaji wa kwanza na ninavyoandika, Profesa mmoja toka Znz anawasilisha hoja ususani kuhusiana na mtizamo wa Znz. Jamaa wanakata fito ile mbaya.

  Taarifa zaidi nitapost kadiri ya uwezo wangu!

  Wote pamoja ni wajibu wetu kuleta mabadiliko stahiki!
   
 2. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 80
  Wa Znz hawana sababu ya kujadili katiba endapo hawatapewa fursa ya kujadili na maswala ya muungano!
   
 3. under_score

  under_score Senior Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Huyo Prof. anaeongea sasa ni nani mkuu, ni Prof. Issa Shivji ama ni ndugu yake, mbona wanafanana sana kwa karibu lila kitu mpaka namna ya ujengaji wa hoja ...
   
 4. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 80
  One of the fastest growing industry Znz ni kero za muungano!
   
 5. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 80
  Anaitwa Prof. Abdul Sharrif na ni mwenyekiti wa baraza la Katiba Zanzibar. Sina uhakika kama ni ndug yake na Shivji.
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,161
  Likes Received: 10,508
  Trophy Points: 280
  Npo kwenye kioo hapa nachek.
   
Loading...