Kimenuka Tanga

Chinga boy

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
412
101
Heshima wadau,muda huu nimepita Central Polisi na nimeona umati wa waislam na askari polisi wako attention na mabomu ya machozi nilishindwa kujua kunani cos nilikuwa na call ya kwenye tower nitarudi nipate habari kamali niilete jamvini
 
kwa nini govt imeshikia bango SENSA?mbona hakuna majibu ya why turn out ya voters 2010 ilikua ndogo sana?HAPA KUNA SIRI
 
mkuu wala usijisumbue kujua ni nini kinaendelea. Kuna uzi hapa unasema kuwa hakimu mmoja kawekea dhamana watuhumiwa. ni ishu hi hii ya sensa, na hao ni wale waliokwepa, sasa mkono wa sheria uko juu yao. Hawa ndugu zetu sijui wana tatizo gani
 
CCM inawadekeza sana waislam ipo siku wataishika makalio ccm
 
Heshima wadau,muda huu nimepita Central Polisi na nimeona umati wa waislam na askari polisi wako attention na mabomu ya machozi nilishindwa kujua kunani cos nilikuwa na call ya kwenye tower nitarudi nipate habari kamali niilete jamvini

utarudi lini xaxa, au umepigwa bom
 
Vipi na huko ni CDM tena inazuia zoezi la sensa kupitia vuguvugu la mageuzi? Wakauwe tena Wauza magazeti wasingizie CDM
 
Back
Top Bottom