Waziri Kagasheki na Mchungaji Msigwa nani muongo kuhusu vifaru toka UK

KIGENE

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,552
813
TANZANIA RECEIVE THREE BLACK RHINOS FROM UK

Minister for Natural Resources and Tourism Ambassador Khamis Kagasheki (fourth left front row) shake hands with UK's High Commissioner Dianne Corner soon after the later handed over three rhinos from UK to Mkomazi National Park (Picture by Pascal Shelutete)

Waziri wa Malisili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki akipeana mkono na Balozi wa Uingereza nchini. Bi. Dianne Corner mara baada ya balozi kukabidhi faru watatu walioletwa nchini kutoka Uingereza kwa ajili ya Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi. (Picha na Pascal Shelutete)

Tanzania National Parks has received three black rhinos from Britain. The rhino were handed over to the Minister for Natural Resources and Tourism Honorable Ambassador Khamis Kagasheki by the UK's Hugh Commissioner Ms. Diane Corner at Mkomazi National Park over the weekend.
During the handing over ceremony, Ms. Diane Corner said that her country and Tanzania share very common aims in protecting the remaining rhinoceros population.
The rhinos were translocated from the United Kingdom by the donors – Damian Aspinall and Amos George of the Aspinall Foundation and Port Lympne Wild Animal Park and ferried to Tanzania aboard a huge DHL 757 aircraft last Saturday and touched down at Kilimanjaro Airport at around 7:20 am last

Katika kikao cha bunge la bajeti mchugaji Msigwa katika taarifa yake alimtaja Kagasheki Waziri wa Maliasili na Utalii kupokea vifaru kutoka kwa balozi wa Uingereza nchini Tanzania.

Waziri katika majuimuisho ya bajeti ya wizara yake alikana katakata kupokea vifaru hao nakumwita mchungaji Msigwa muongo.

Taarifa za makabidhiano ya faru hao zipo kwenye official website ya TANAPA sasa kati ya Kagasheki Msigwa na Tanapa nani mkweli
 
Attachments

  • imagesCABEMLFP.jpg
    imagesCABEMLFP.jpg
    4.1 KB · Views: 189
TANZANIA RECEIVE THREE BLACK RHINOS FROM UK

Minister for Natural Resources and Tourism Ambassador Khamis Kagasheki (fourth left front row) shake hands with UK's High Commissioner Dianne Corner soon after the later handed over three rhinos from UK to Mkomazi National Park (Picture by Pascal Shelutete)

Waziri wa Malisili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki akipeana mkono na Balozi wa Uingereza nchini. Bi. Dianne Corner mara baada ya balozi kukabidhi faru watatu walioletwa nchini kutoka Uingereza kwa ajili ya Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi. (Picha na Pascal Shelutete)

Tanzania National Parks has received three black rhinos from Britain. The rhino were handed over to the Minister for Natural Resources and Tourism Honorable Ambassador Khamis Kagasheki by the UK’s Hugh Commissioner Ms. Diane Corner at Mkomazi National Park over the weekend.
During the handing over ceremony, Ms. Diane Corner said that her country and Tanzania share very common aims in protecting the remaining rhinoceros population.
The rhinos were translocated from the United Kingdom by the donors – Damian Aspinall and Amos George of the Aspinall Foundation and Port Lympne Wild Animal Park and ferried to Tanzania aboard a huge DHL 757 aircraft last Saturday and touched down at Kilimanjaro Airport at around 7:20 am last

Katika kikao cha bunge la bajeti mchugaji Msigwa katika taarifa yake alimtaja Kagasheki Waziri wa Maliasili na Utalii kupokea vifaru kutoka kwa balozi wa Uingereza nchini Tanzania.

Waziri katika majuimuisho ya bajeti ya wizara yake alikana katakata kupokea vifaru hao nakumwita mchungaji Msigwa muongo.

Taarifa za makabidhiano ya faru hao zipo kwenye official website ya TANAPA sasa kati ya Kagasheki Msigwa na Tanapa nani mkweli

kwenye red inaonyesha jinis wazungu walivyodhnai tunajali ,kumbe akili zilikuwa zinawaza watamaliza saa ngapi.Na mabwana zetu walikuwa busy katik simu kuzi book.
 
Back
Top Bottom