The Don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,499
- 1,163
Hatua ya kuongeza siku za sensa ni mpango maalumu wa kuihujumu chadema kwenye operesheni yake ya m4c baada ya mauaji yaliyotokea moro na kushindwa kwa polic.c.m na usalamac.c.m pamoja na mvuto wa chadema kwa wananchi unaozidi kuisambaratisha c.c.m kwa kasi,hebu jiulize serikali inayosema haina hela je malipo ya nyongeza yatatoka wapi?na kwanini zoezi halijakamilika kwa kiwango chake? Na kwanini kama zoezi linaendelea iweje kesi za waliogoma kuendelea kusikilizwa?,hakika hii ni mbinu chafu,ila makamanda hawakai chini na kukuna nazi bali wanaendeleza ukombozi wa misukule inayofugwa na magamba na kukomboa wananchi wote waliokata tamaa na maisha.viva chadema