Malawi, Tanzania fail to agree on Lake Nyasa border dispute | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malawi, Tanzania fail to agree on Lake Nyasa border dispute

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkodoleaji, Aug 26, 2012.

 1. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Saturday, 25 August 2012
  [​IMG]


  Chiume: Malawi negotiated in good faith

  Malawi and Tanzania on Saturday announced that they had failed to resolve their dispute on the border of Lake Malawi and agreed to continue to push for a diplomatic and negotiated solution.

  "After frank and spirited discussions between the two countries, we have concluded that our differences still remain," Tanzanian Foreign Affairs Minister Bernard Membe said at the end of a ministerial meeting.

  Membe said the meeting agreed to take the diplomatic path with fresh meetings in Tanzania from September 10-14, saying "we have agreed that the answer to this dispute is a negotiated settlement.

  "Only negotiations and diplomacy will solve this problem," he added, saying that a joint technical committee of the two countries will thrash out the matter.

  The minister said the two countries also agreed to "restrain themselves from making explosive and provocative statements and leave the issue to diplomacy. It's about life, peace and security."

  Membe also said they had agreed oil exploration in the lake, particularly in the disputed areas, should "cease to allow space for negotiations to take place."

  He said the meeting also agreed to allow attorney generals of the two countries to evaluate the 1890 treaty which determined the border of the lake.

  He said that determination will be made before the Tanzania meeting next month.

  His counterpart Ephraim Mganda Chiume said Malawi had been negotiating in "good faith" and wants to "exhaust all channels" before referring the matter to the International Court of Justice for arbitration.

  "We want to see whether negotiations will add value and give time to legal experts to interpret the 1890 treaty which determined that the lake border is on the eastern shore of Tanzania."

  He said the two countries want to "give mediation and diplomacy a chance. In Malawi, we feel the issue has taken too long to be concluded and we want to put it to rest for our people to live in peace. We want to expedite the resolution once for all because we have been talking for 50 years."

  He said Malawi will "go an extra mile to listen to any value we can get from mediation."


  ---
  Source: The Maravi Post

  =============

  ZAIDI:

  Picha kwa hisani ya n00b

  [​IMG]
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  ..naona Malawi wanatumia kila opportunity kueleza kwamba wanamiliki 100% ya ziwa nyasa.

  ..kwa upande mwingine Membe haelezi anacho-negotiate haswa ni kitu gani.

  ..Membe ameshindwa kueleza haki ya Tanzania ktk ziwa hilo ni ipi. je, ni 50%, 30%, au???!!
   
 3. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  vinchi vingine bana! Yaani tufuate mkataba wa mkoloni, wakaulize mambo hayo waingereza na wajerumani. pambaf zao, kwa vyovyote vile kulikuwepo watu upande huu wa ziwa nyasa, so; wawaombe na hao watu wawe wamalawi pia. Nyambaf malawi.........

  ze gans a ledi to fait, no litlit-no salenda
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,443
  Likes Received: 81,492
  Trophy Points: 280
  ...Wameshagundua jamaa ni DHAIFU hivyo wanahisi labda hana ubavu wa kutetea mipaka ya nchi. Thubutu uchezee mipaka ya Tanzania wakati wa Mwalimu...Alikuwa anatoa kauli yake na anaisimamia mtindo mmoja bila woga. Na yeyote aliyejaribu kuchezea mipaka ya Tanzania aliposikia kauli ya Mwalimu alijua huyu jamaa hana msalie mtume yuko tayari kwa lolote lile...siye huyu anatoa kauli eti wanaotaka vita ni vyama vya upinzani!!!! Sijui tangu lini Membe na Lowassa wamekuwa kwenye vyama vya upinzani.
   
 5. O

  Ogah JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  what are we negotiating?.....will someone tell us please what is it that we are negotiating?........atleast wamalawi wanafahamu timu yao inaongelea nini kwenye huo mkutano.........Watanzania tunafanywa mabwege kwa kila kitu kufanywa siri........Bandugu hapo hakuna cha siri...........tupeni kinagaubaga ni hoja gani mnazowakilisha huko.......Watanzania tunachotaka ni nusu kwa nusu........kama wamalawi hawataki....basi tuendelee kulinda mipaka yetu..........kama wao wanavyolinda ya kwao.........mijadala ni kupotezeana muda na pesa za walalahoi............
   
 6. M

  Masauni JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  And I quote "Attorney generals to evaluate 1890 treaty".. Hapo ndipo watanzania tutakapopigwa bao! Huyu werema ataweza kweli, maana jamaa anaonekena ni kilaza mkubwa kweli.
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Diplomasia haiwezi kuumaliza huu mgogoro. Tuwachape tu!
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  BAK

  Ni kweli mkuu labda tumulize wakati wa Nyerere kulikuwa na vyama vya upinzani vikachochea vita na Uganda?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Labda wampe Tundu lissu matokeo tungeyaona lakini huyu jamaa anayeweka mikono mifukoni tumekwisha
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,443
  Likes Received: 81,492
  Trophy Points: 280
  ...Njemba huwa inaropoka na kuongea madudu ambayo yanachefua sana...hata kama ndiyo upinzani wa kisiasa, kulikuwa na sababu kweli ya kusema uongo kwamba wanaopigia debe vita ni wapinzani?

   
 11. O

  Ogah JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ....kwani wewe umeiondoa JF kwenye kundi la Upinzani?...........lol
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,443
  Likes Received: 81,492
  Trophy Points: 280
  ...Ooooh! Kumbe jamvi nalo lilikuwa mstari wa mbele kufagilia vita!!!! Hilo wala sikuliwazia kusema kweli lol!...Inaelekea hapa jamvini wengi hawapendi kuona mipaka ya nchi yetu ikichezewa na yeyote yule hata kama ana wajomba kutoka nchi za magharibi.

   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Halafu kinachonishangaza zaidi Malawi inupdate wananchi wake kuhusu hiyo Mikutano ya maridhiano lakini upande wetu wakina membe wamelifanya ni Lao binafsi
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,443
  Likes Received: 81,492
  Trophy Points: 280
  Ndiyo matatizo ya kuwa na Serikali DHAIFU Mkuu ipo ipo tu...hawajui hata watendalo kwenye kila kitu.

   
 15. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  hAPO ZIWA nYASSA waingereza na wamarekani wamegundua resrve kubwa sana ya gas. Mmalawi kaona uchu na antaka rerseve yote aimiliki yeye. watanzania tuwe macho na wanasiasa wetu hawa wanaonegotieti. Hapo wao wanwaza deal zao na kuweka pessa uswiss baada watakapo kubali ya kuwaachia wamalawi sehemu kubwa ya ziwa wachimbe. Mabillion ya uswiss waliyapata kwa deal za namna hizo hizo. Yaani kuwaachia wachimbaji wa kigeni asilimia kubwa huku wao wakipewa kitu kidogo waweke uswiss. Ndio maana hawasemi lolote wafanyalo huko malawi wanataka wewe na mimi tusitukizie tuu kuwa malwi kachukua ziwa nyassa. Kweli nakuambieni, amin, amin, nakuambieni, heri mkoloni alijenga mzumbe secondari kuliko mzalendo aliyeuza melemeta!
   
 16. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  ngoja tuone hiyo september meeting, ila sioni kama kutakuwa na jipya sababu malawi wameshatuweka mtegoni kwa kusema wanasheria wakuu wa serikali wakutane kuupitia mkataba wa 1890, kwa nini wapitie mkataba huo pekee ili hali kila mtu anajua hauipi favour tz kisheria?
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  huyu membe eti anautaka urais? Kweli? Im out
   
 18. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni attorney gani ataweza kutafsiri mipak, werema mweupe, bora wampeleke lisu
   
 19. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Serikali inahitaji watu kama Mnyika kwenye idara ya habari. Mh. Mnyika kuandika ni hobby yake namba moja. Na hivi bado kijana he has a very bright future ahead of him
   
 20. y

  yuya Member

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  jamani hili ni jambo linalohusu taifa letu. Tafadhali raisi wangu peleka watu wenye uwezo wa kutafasiri hiyo 1890 treaty. Katika hili include hata wanasheria nje ya chama chako na hata nje ya serikali yako. Huu ndio utaifa. Mwanasheria mkuu ni dhaifu. Wamalawi wanaujua uwezo wake ndio maana wakatutega attonney generals wahusike katika hili. Werema? Tumekwisha.
   
Loading...