Inaonekana sasa Sitta anampango wa kukihama CCM. Gazeti za leo la Tanzania daima limemkariri akisema kuwa hivi sasa hana mpango wa kuhama CCM: Kwa maneno yake: Kwa sasa sina mpango huo wa kuhama, labda wananchi watake nichukue nafasi nyingine, alisema Sitta.
Hivyo 'nafasi nyingine' anayoisema yamkini ni URAIS. Kwa kauli hii. Ni dhahiri huyu jamaa atahama chama. Hivi sasa anapima upepo tu.
Hivyo 'nafasi nyingine' anayoisema yamkini ni URAIS. Kwa kauli hii. Ni dhahiri huyu jamaa atahama chama. Hivi sasa anapima upepo tu.