Nembo ya taifa inaitabiria CHADEMA ushindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nembo ya taifa inaitabiria CHADEMA ushindi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bujibuji, Sep 1, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,981
  Trophy Points: 280
  Nembo ya taifa ina rangi ya vyama vya CCM na Chadema. Ccm imekufa na itazikwa rasmi 2015, na kuanzia hapo ni awamu ya NGUVU YA UMMA PEOPLE'S POWER
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Premises of your argument please?
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,981
  Trophy Points: 280
  Www.senteKayumba.com
   
 4. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Endeleeni kujidanganya huku mkitoa watu makafara
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,981
  Trophy Points: 280
  Pole najua inakuuma kupoteza imani kwa wananchi,
  ndio matokeo hayo wa kuwakumbatia matajiri wachache na kuwasahau mamilioni ya wanyonge.


  bongo.jpg
   
 6. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  How much credible is this?
   
 7. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  sidhani kama kuna kafara kubwa inayoweza kulinganisha na kuanguka majukwaani wakati wa kampeni na kuzamisha meli
   
 8. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .
  Wakuu Father of All & Sangarara Jamani nyie mmeshaambiwa kuwa ni Saint Kayumba?! ... sasa mbona bado mnang'ang'ania kuandika kidhungu?! ... mngemuandikia kwa kiswahili nafikiri angewajibu! ...

  Ha! ha! ha! ... mambo ya Saint Kayumba School!
  .
   
 9. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu peleka hii habari kule chit chat..
   
Loading...